Habari wanajopo?
kesho tarehe 23/11/2013 kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara ulioandaliwa na kada wa ccm na makamu mwenyekiti wa kamati ya uchumi w/kinondoni pia kamanda wa vijana k/ya mburahati(jimbo la ubungo)kwa kushirikiana na viongozi wengine wa ccm wa kijitonyama mpakani"A" bwana frank kamgisha.
Mkutano huu utafanyika eneo la wazi pale africa sana karibu kabisa na kona bar na mgeni rasimi ni bwana nape nauye katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi pamoja na wengine wengi,na kama ilivyo ada pia kutakuwa na burudani ya kukata nashoka toka kwa vijana wa mujini Fm academia chini ya nyoshi el-saddat,nyote mnakaribishwa kuja kusikia sera za chama kinachoongoza dola(ccm)
Kidumu chama cha mapinduzi?
Mungu ibariki africa,mungu ibariki Tanzania