MKUTANO WA HADHARA ARUSHA


B

bibiinna

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Messages
657
Likes
426
Points
80
Age
67
B

bibiinna

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2016
657 426 80
Tangazo la uongozi wenye kuacha alama linasema mgeni rasmi ni WM na atazindua pikipiki 200 kwa vijana wa ARK.
Hizi 200 ukijumlisha na zilizopo sasa hivi sijui utapata ngapi.
Kwa rate ya ajali moja kwa siku yenye kusababisha ulemavu ifikapo 2020 wengi watashindwa kwenda kupiga kura.
Hebu tuliangalie kwa undani zaidi....bora uvuvi...ufugaji....kilimo hasa cha matunda na mbogamboga.
 

Forum statistics

Threads 1,273,817
Members 490,485
Posts 30,492,935