Wakuu mkutano ndo umeanza na ameanza Mwita Waitara na ss anaongea Dev Silinde na anazungumzia kilichotokea bungeni na jinsi magamba walivyokurupukia katiba mpya na jinsi mchakato ulivyowashinda kwa kuwa haikuwa hoja yao suala la katiba mpya. Soon anafuatia Sugu....huyu jamaa WAITARA nilikuwa namwamini mkuu ila siku 1 niliwahi kumkuta sehemu akiwa na shibuda wanapanga mipango ya kubomoa wenzao wa CHADEMA kwa kweli simwamini tena