MMAHE
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 815
- 420
Toka lini ukweli ukawa blah blah?:shut-mouth:
Vp kuhusu Shinyanga,Tabora, kigoma?
Toka lini ukweli ukawa blah blah?:shut-mouth:
ona unavyofanya ushabiki badala ya kushughulika na hoja.kisa waliofanya ni cuf.CUF watapewa talaka na bwana wao CCM kama wataanza siasa za kuikosoa ohoooo!
Tujadili mambo ya msingi bila kuingiza mambo ya udini kwani hayatusaidii kama watanzania bali yanazidi kutubomoa na mwisho wake tutabaki kuacha yale ambayo ni ya msingi kwetu kama taifa.Wananchi wa Mtwara na Lindi ni maskini kwa sababu ya Uislam wao. Uislam uko intertwined na umaskini, ujinga na maradhi.
haya ndio mawazo ya chizi mada na hoja haviendani, mbona kuna wakristo wengi tuWananchi wa Mtwara na Lindi ni maskini kwa sababu ya Uislam wao. Uislam uko intertwined na umaskini, ujinga na maradhi.
akili na jina lako vinalingana sawa na nape wote ni vibuyu mkiongozwa na mwenyekiti wenu tikiti majiSasa viwanda vitawasaidia nini au ndio kazi za vibarua , coz vitaajiri wasomi ambao ni wachaga ,wahaya,wanyakyusa etc...... Mimi nadhani wangeomba wapewe vitu muhimu kama shule ,vyuo na mahospital. Lakini ajira bila elimu
Wananchi wa Mtwara na Lindi ni maskini kwa sababu ya Uislam wao. Uislam uko intertwined na umaskini, ujinga na maradhi.
Wananchi wa Mtwara na Lindi ni maskini kwa sababu ya Uislam wao. Uislam uko intertwined na umaskini, ujinga na maradhi.
Uislam umekuwa ni chanzo cha waislam kubaguliwa tangu ukoloni wa mwingereza na kupitia utawala wa nyerere na waliomrithi wengine kwa kujua na wengine kwa kutojua. Ingekuwaje kama gesi hiyo ingepatikana Mbeya, Arusha na Moshi kwenye wakristo wengi? Ingehama-La wakubwa wangesema hapana tuiache huku ila tuandae miungombinu ya kuismabaza kutokea huko. Ubaguzi huo-lkn mjinga na mpumbavu ataona ni bla blah tu.