Barnabas Shadrack, unaweza kuniambia ni kwanini CCM wanaongelea watu wa kaskini kama wakimbizi nchi hii? Ni watanzania halali?
...tungekuwa tushachukua nchu kitambo!
gambaz at work presha inapanda presha inashuka.Subiri baadaye nitakupa jibu maana mimi sio mfuasi wa Ccm lakini hali ya siasa hapa nchini ndiyo inayoonyesha ukanda wa Chadema.
The unseen is illustrated by the seen.
hahah kamata mwiz men
gambaz at work presha inapanda presha inashuka.
Samahani ndugu, unaweza ukaniambia maana ya neno lenye rangi nyekundu hapo juu. Nitashukuru sana maana mimi kamusi yangu haina.
The unseen is illustrated by the seen.
Subiri baadaye nitakupa jibu maana mimi sio mfuasi wa Ccm lakini hali ya siasa hapa nchini ndiyo inayoonyesha ukanda wa Chadema.
The unseen is illustrated by the seen.
Kamata mwizi meeeeeeeen!
Kama kweli inaoneesha ukanda kwa nini ofisi ya msajili wa vyama vya siasa imekaa kimya? Kuna siasa mbaya sana toka upande wa ccm tangu 2005. Siasa za 'devide and rule' matokeo yake CCM yenyewe inasambaratika na sasa wanataka kusambaratisha taifa! Walianza na dini ikashindikana, sasa wamekuwa wanapiga kambi kambi ukanda.
Lakini you dont need a PhD kujua hawa wanasiasa uchwara wanataka kukwepa hoja, kwa nini Tanzania ni maskini? Wameshindwa kusema kwa miaka 50 kwa nini nchi tunaomba ha
.
Tanzania ni maskini kwa kuwa wananchi wake ni wajinga. Wamebaki kulia lia mitandaoni tu.
The unseen is illustrated by the seen.
watu wamehamasishwa sana wamemsindikiza mh mbungE wa arusha aliye honey moon kwa miguu kuelekea matumbI hakika G lema, heche NA kilewo ni noma
KAMANDA LEMA ANASEMA KAMA NOMA NA IWE NOMA UOGA BAAASI.....
kwani kamusi yako na yake zinafanana.gambaz bana linawasha jiloweke kidogo lilainike
[QUOTE
.
Tanzania ni maskini kwa kuwa wananchi wake ni wajinga. Wamebaki kulia lia mitandaoni tu.
The unseen is illustrated by the seen.
Lacking of common sense!Samahani ndugu, unaweza ukaniambia maana ya neno lenye rangi nyekundu hapo juu. Nitashukuru sana maana mimi kamusi yangu haina.The unseen is illustrated by the seen.
Huu ni uzushi mtakatifu! Nimepita hapo shule watu ni wachache sana. Kuna wanazi kama 30 wamezunguka jukwaa na wananchi wa kawaida kama 70 wamejitenga kuzunguka uwanja!
Lacking of common sense!
Kama magwanda yanavyowawasha siku hizi, sijui hampigi pasi!!
The unseen is illustrated by the seen.
Ccm wamesema cdm ni wakirsto na cuf ni waislam.sasa ccm ni chama gani raia wamejibu kwa sauti mafreemason