Mkutano wa Chadema Reading, Updates

wana watu 20 anaona aibu.pamoja na kuwalzimisha waumini wa kisabato.wakadanganya kuwa mjumbe wa nec wa ccm.mjue kuwa ni matapeli.
hawa watu kwa sababu ccm na ye mwenyewe wamekuwa wakiwatumia waislamu kwa manufaa ya ccm sasa anogopa siri kuwekwa hadharani tumeone waislamu wengi viongozi mzee mwinyi aliwadhibiti akina ponda mzee makamba aliwadhibiti pale magomeni sasa kikwete kwa nini tusikuone wewe ni swahiba na unawafurahia kwa sababu wanafanya kazi abayo ndani ya moyo wako unachekelea lakini kumnuka vita ya kidini haitamuacha salma ridhiwani wala ndugu yako yeyote acha udini ongoza nchi nyerere aliyuonya watanzania kukuchagua sasa tunaona faida zake
 
ccm lazima walie chadema naona walitaka mwanzo tu sasa njia nyeupe kuna mkutano mwingine utakuja usijali kama noma na iwe noma mpaka kieleweke liwalo na liwe
 







Wazanzibari kibao walijiunga na chama
 






picha nyingine kesho wacha nikalale sasa
 


Kamanda mmoja wa Chadema ni sawa na magamba ishirini hebu fikiria huu mkutano umeandaliwa na viongozi wa muda waliochaguliwa wiki mbili zilizopita, leo hii wanawasumbua CCM hawalali. Hawa CCM wako hapa miaka yote lakini hawajapata nguvu kama Chadema UK . walituma mamluki kama nane picha zao nitawawekea mchana na najua nikiweka picha tu mtawatambua kwa sababu ni magamba origino.
 
Mkuu Chilisosi mbona kwenye mchina wangu hizo picha sizioni?
 
Last edited by a moderator:
jana reading







 

Attachments

  • Dr Lusingu akiendeleza M4C.JPG
    991.9 KB · Views: 1,451
  • Chris Lukosi.JPG
    788.3 KB · Views: 1,444
  • IMG_4556.JPG
    1.3 MB · Views: 84
  • Kamanda LEMA alihutubia mkutano kwa njia ya simu.JPG
    940.7 KB · Views: 1,384
  • Mwenyekiti wa wanawake Kamanda JESSICA MADUHU.JPG
    870.6 KB · Views: 77
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…