Mkutano wa CHADEMA Mwanza mambo yanazidi kupamba moto.

376162152.jpg

sera za danganya wanawake,maana ndio mtaji wenu,
 
We vipi?. kila siku mnapiga kelele kulalamika hakuna maisha bora, CCM ikijidhihirisha kama kuna maisha bora na inawajari wanachama, wapenzi na mashabiki wake kwa kuwapa usafiri wa bure kwa vile uwezo inao napo mnaanza kulalamika.

CCM imewazoea watu kama nyie, malalamiko ndiyo sehemu ya maisha yenu. na ni sawa na chura kupiga kelele mtoni.

na 2000 za mfukoni,
 
Leo tumechoka sana kwa sababu tulikuwa tunajadili mkutano wa CCM. Mambo ya mkutano wa chadema itabidi tujadili kesho.
 
post.JPG
vijana waliobeba ujumbe wa kuwaunga mkono wabunge wa chadema waliosimamishwa na naibu spika

DSC04349.JPG
haikuishia kulishitaki bunge tu kwa wananchi,pia wananchi waliamua kutoa michango ya kuendesha vuguvugu la mabadiliko kwa kanda ya jimbo la ziwa magharibi chini ya kamanda mawazo

NI HATARI.JPG
wana wa nchi hii waliochoshwa na mfumo wa kimangimeza wakiwasiliza viongozi waliotka miongoni mwao

DSC04325.JPG
mungu wabariki watanzania waliogundua haki zao na kuamua kujikomboa toka mfumo dume
 
Nyomi ya kutosha, je wangeenda na Diamond kama wenzao ingekuwaje. Unajiuliza watu wanaenda kusikiliza mkutano au wanaenda kumwangalia Diamond.
 
Thread kama hizi kuna watu huwa wanapita kama guests.....na kusepa kimya kimya
viva M4C
 
Back
Top Bottom