Mkutano wa CHADEMA Kimara: Mnyika sijui atasalimika?

Nimepata muda huu maeneo ya Kimara naona CHADEMA wana mkutano wa hadhara na muda mfupi ujao mbunge wa Kibamba Mh.Mnyika anatarajiwa kuwasili na kisha kupanda jukwaani.

Swali:

Je,akimaliza kuhutubia hatatafutwa kwa mahojiana na hata kupimwa mkojo?

Nawaza tu.
Tarehe 2 alifanya mkutano na ulifanikiwa sana, hakukamatwa.
Alizungumzia maendeleo ya Jimbo na wananchi wake.
Alitatua kero sugu ( maji, barabara,zahanati, shule) .
 
Nimepata muda huu maeneo ya Kimara naona CHADEMA wana mkutano wa hadhara na muda mfupi ujao mbunge wa Kibamba Mh.Mnyika anatarajiwa kuwasili na kisha kupanda jukwaani.

Swali:

Je,akimaliza kuhutubia hatatafutwa kwa mahojiana na hata kupimwa mkojo?

Nawaza tu.
Hata akihelewa
 
Hata akichelewa kuanza mkutano anaweza akahojiwa alikuwa anaadaa mini.
 
Nimepata muda huu maeneo ya Kimara naona CHADEMA wana mkutano wa hadhara na muda mfupi ujao mbunge wa Kibamba Mh.Mnyika anatarajiwa kuwasili na kisha kupanda jukwaani.

Swali:

Je,akimaliza kuhutubia hatatafutwa kwa mahojiana na hata kupimwa mkojo?

Nawaza tu.
Mb ona

I think ile presidential order does not restrict any member of parliament from conducting political gathering in his or her constituency so long as anahamasisha juhudi za maendeleo jimboni kwake. But if you go contrary to that dola lazima imshughulikie tu, no way out.
 
But only in Africa!!
 
Palikuwa na sababu ya msingi kabisa kuzuia mikutano soon after election hasa kwa huu ambao ulishindaniwa sana.Lowasa angeruhusiwa kupita kushukuru wapiga kura wake isingeiacha nchi salama lakini hili lilitakiwa lifanyike kwa miezi michache na watu wakishatulia na shughuli kuendelea palikuwa hapana sababu tena.
Kwa nini amri hii imeendelea ni kwa kuwa kuna watu hawajiamini.
 
But only in Africa!!
Most of African opposition leaders huwa wanatumika sana, even if they are granted them freedom of speech as it is stipulated in the constitution, they do not know how to use it effectively. Watu wamejaa matusi, dharau, kejeli tribalism and religious sentiments, wanaiombea mambaya nchi yao, what do you expect?. Suppose, kama ww ungekuwa rais, you can't agree, by just observing your country is being teared apart na maneno yasiyokuwa na hekima in the expense of democracy . Is that kind of democracy do we want?. I strongly recommend serikali kuwashughulikia wote wanaoenda contrary na miiko ya taifa.
 
Mb ona

I think ile presidential order does not restrict any member of parliament from conducting political gathering in his or her constituency so long as anahamasisha juhudi za maendeleo jimboni kwake. But if you go contrary to that dola lazima imshughulikie tu, no way out.
Mbona Katiba ya nchi haisemi hivyo, je yeye Magu kapata wapi mamlaka ya kuwarestrict waheshimiwa wabunge kwenye majimbo yao?

Halima Mdee aliposema ukweli kuwa Magu anachukulia kauli yake kuwa sheria DC wa Kinondoni akaamuru akamatwe..

Sasa Halima Mdee nini alichomkashifu Rais wakati alichoongea ndiyo ukweli mtupu?
 
Chembe za bangi kwenye mkojo zaweza kusababisha uchochezi
Ukiiruhusu tu akili yako ikafanya kazi kidogo utajua mahusiano.

Kuna mtu akivuta bangi humchetua na kujikuta anatukana tukana ovyo kama yule mbunge wa Singida.

Kwahiyo unavyopimwa hiyo kitu wanataka wajue kama unatumia na if yes umeathirika kiasi gani. Ili majibu yakishatoka taifa tujue kama wa Singida nimtumiaji au la.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Katiba ya nchi haisemi hivyo, je yeye Magu kapata wapi mamlaka ya kuwarestrict waheshimiwa wabunge kwenye majimbo yao?

Halima Mdee aliposema ukweli kuwa Magu anachukulia kauli yake kuwa sheria DC wa Kinondoni akaamuru akamatwe..

Sasa Halima Mdee nini alichomkashifu Rais wakati alichoongea ndiyo ukweli mtupu?
My friend, refer my comment above.
 
Most of African opposition leaders huwa wanatumika sana, even if they are granted them freedom of speech as it is stipulated in the constitution, they do not know how to use it effectively. Watu wamejaa matusi, dharau, kejeli tribalism and religious sentiments, wanaiombea mambaya nchi yao, what do you expect?. Suppose, kama ww ungekuwa rais, you can't agree, by just observing your country is being teared apart na maneno yasiyokuwa na hekima in the expense of democracy . Is that kind of democracy do we want?. I strongly recommend serikali kuwashughulikia wote wanaoenda contrary na miiko ya taifa.
Binafsi naamini ya kuwa sheria zipo na zinatakiwa zitumike.Na kama hivyo ndivyo hakuna haja ya kupiga marufuku mikutano,ni kuwaachia kama ilivyokuwa stipulated kwenye sheria then anayekwenda kinyume ashughulikiwe.Tunachokishuhudia ni mmoja kuruhusiwa kufanya atakavyo na wengine kuwekewa vikwazo,for sure hii ni ku provoke kauli kali.
 
Back
Top Bottom