Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,788
- 165,484
Nimepata muda huu maeneo ya Kimara naona CHADEMA wana mkutano wa hadhara na muda mfupi ujao mbunge wa Kibamba Mh.Mnyika anatarajiwa kuwasili na kisha kupanda jukwaani.
Swali:
Je,akimaliza kuhutubia hatatafutwa kwa mahojiana na hata kupimwa mkojo?
Nawaza tu.
Swali:
Je,akimaliza kuhutubia hatatafutwa kwa mahojiana na hata kupimwa mkojo?
Nawaza tu.