Mkutano wa CHADEMA kata ya Goba

Mkutano wa CHADEMA kata ya Goba

Ishina

Senior Member
Joined
Dec 27, 2011
Posts
169
Reaction score
57
Kwa sasa Mhe. Mnyika, Mbunge wa Ubungo ndo kaingia sasa, na msafara wake wote wanatumia magari aina ya Vitz. Ben saa8 yupo hapa kwa ajili ya kuondoa sumu ya masalia (Mwampamba na Shonza) iliyomwagwa wiki iliyopita. Kuna nyomi ya kutosha!

Ntajitahidi kuwapa updates zaidi
 
Ishina 16:54 Today

Nipo hapa kata ya Goba, Mhe. Mnyika anaingia hapa Kwa kutumabarua ya uchumba!! Au??????? Si ndiyo hivyo??
 
kazi kumbe bado pevu nina amini leo maghembe atapanga kurudi tena 2mr mana mnyika kwa hoja dah!
 
Kwa sasa kinachoendelea ni utambulisho wa watu muhimu waliohudhuria mkutano huu! Wengi wao ni viongozi wa CDM wilaya ya Kinondoni, pamoja na Madiwani wa CDM wa Kinondoni! Kifupi watu ni wengi na hakuna hata mmoja aliyeletwa na Loli wala kule wa tshirt, wala hakuna ubwabwa: Wanachi kweli wanaipenda CDM
 
Ishina 16:54 Today

Nipo hapa kata ya Goba, Mhe. Mnyika anaingia hapa Kwa kutumabarua ya uchumba!! Au??????? Si ndiyo hivyo??

vichaa wa jf .... mods anzisheni forum ya wehu.....
 
kazi kumbe bado pevu nina amini leo maghembe atapanga kurudi tena 2mr mana mnyika kwa hoja dah!

Mkuu Mwasipu!

Heshima kwako.

Prof. Maghembe itabidi arudi "MWEVO". Najua mtaniuliza na sitawapa jibu (mtanisamehe wana jamvi). Nawapa assignment mdadavue kwamba ni wapi na huwa watu wanaenda kufanya nini???! Ndiyo mbinu zilizo bakia kwa MAGAMBA.
 
Mhe. Diwani wa Goba (somebody Kisoky) ni mmoja kati ya Wauza maji wakuu wa kata hii ya Goba Kwa kutuma maloli, ndo maana anahujumu mradi wa maji wa hapa: hii imesemwa na Diwani wa Ubungo
 
Last week, kwenye mkutano wa CCM hapa Goba, waziri wa Maji aliahidi maji kata ya Goba yatatoka ndani ya siku tatu, ambayo ilitakiwa yaanze kutoka ijumatano ya tarehe 20 mwezi huu, lakini mpaka Leo hii hakuna maji
 
nape jitu patel.....habari...cv.div 4 point 29.....mnyika...dv 1. point 9.
 
Ben saa8: anasema masalia walifukzwa, na sio kwamba walihama kama ambavyo waliwadanganya wana Goba last week! Pia, sa8 alisoma na nape nchin India na anasema jamaa alikuwa kilaza wa kutupwa, na alishindwa kwenye kura za maoni za kugombea jimbo la Ubungo, wa kwanza alikuwa hawa Ngumbi, nape alikuwa wa 3 na alipata kura 17 tu.
 
Mdogo wake na Bashe yupo CDM, yeye hawezi kuwa kwenye chama cha magamba, na anamshangaa kaka yake kwa kutumia kama Condom na Magamba
 
Kwa sasa Mhe. Mnyika, Mbunge wa Ubungo ndo kaingia sasa, na msafara wake wote wanatumia magari aina ya Vitz. Ben saa8 yupo hapa kwa ajili ya kuondoa sumu ya masalia (Mwampamba na Shonza) iliyomwagwa wiki iliyopita. Kuna nyomi ya kutosha!

Ntajitahidi kuwapa updates zaidi
isifike tu hatua ambapo cdm ndio watageuzwa wazuiaji badala ya washambuliaji. Washambulie na kuzuia
 
Back
Top Bottom