Mkutano wa CHADEMA Houston April 6, 2013

Mkutano wa CHADEMA Houston April 6, 2013

hiyo rangi ya maandishi una uhakika ni ya chadema?. acha ugamba wewe. nyie ndo mwisho wa siku mnasaliti. au umetumwa kukiharibu chama?. wenzio tukiona rangi ya kijani tunasikia kichefuchefu. ondoa hilo bandiko. mia


Do you mean what you say?Kuna kijani hapo?Nadhani wewe ni Colour blind.
 
Mkoa gani na sehemu gani? Hiyo sehemu sijawahi kusikia? Tafadhali jibu ili tusichelewe kufika.....................................
 
Do you mean what you say?Kuna kijani hapo?Nadhani wewe ni Colour blind.
inaonekana huelewi. mimi sina tatizo la rangi. nmesema wakati hii thread inapostiwa kulikua na rangi ya kijani lakini kwa sasa wameshabadilisha. je umeshindwa hata kugundua kama thread wameiedit?. mia
 
Back
Top Bottom