Mkutano wa CHADEMA Houston April 6, 2013

Mkutano wa CHADEMA Houston April 6, 2013

Fue Fue

Senior Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
107
Reaction score
128
wote mnakaribishwa mawazo , ushiriki, na utayari wakoutaijenga tanzania
Publication7.jpg Publication7.jpg Publication7.jpg
 
Ndugu tunawatakieni kila la heri huko, tufanye hima kukiondoa hiki chama kinachoua na kutesa raia wake sijawahi ona chama kama pumbavu ccm ee Mungu. Nimechoshwa na nimekataa tamaa kabisa na uongozi ulioko. Baba Nyerere rudi baba uone tunavyo wawa na kuteswa
 
hiyo rangi ya maandishi una uhakika ni ya chadema?. acha ugamba wewe. nyie ndo mwisho wa siku mnasaliti. au umetumwa kukiharibu chama?. wenzio tukiona rangi ya kijani tunasikia kichefuchefu. ondoa hilo bandiko. mia
 
Nimependa rangi za hayo maneno CHADEMA HOUSTON.
 
utaahira na ulimbukeni. ulisikia wapi republican wakifanya mkutano wao morogoro?
 
utaahira na ulimbukeni. ulisikia wapi republican wakifanya mkutano wao morogoro?[/QUOTE

Tunashukuru, karibu sana. Huwezi kucopy kila kitu, inatakiwa ujifunze kuwa mbunifu usiogope kuitetea nchi yako. Umuhimu wa uchumi na maendeleo ya Tanzania ni wajibu wa kila mtanzania kuhakikisha Tanzania inaendelea. Kama unaamini watanzania walio nje hawana haki na nchi sawa, ila kila mtanzania anahaki ya kuilinda, kuipenda, kuitetea na kuiendeleza nchi yake popote alipo
 
hiyo rangi ya maandishi una uhakika ni ya chadema?. acha ugamba wewe. nyie ndo mwisho wa siku mnasaliti. au umetumwa kukiharibu chama?. wenzio tukiona rangi ya kijani tunasikia kichefuchefu. ondoa hilo bandiko. mia

Cheki settings zako za color kwenye monitor. Mbona mie naoma rangi Blue ya Chadema--hata kama si royal blue imeelekea zaidi kwenye cyan blue lakini mbona ni blue. Kama unaona kijani check settings za color.
 
K**a yako wewe!so ulitegemea waje kufanyia mkutano mwembeyanga?
mnajizadhalilisha tu. marekani ni marekani tu na haitageuka kuwa tanzania siku moja. au sasa hivi chadema mnataka kwenda kupambana na rep. na democ. katika uchaguzi ujao?
 
utaahira na ulimbukeni. ulisikia wapi republican wakifanya mkutano wao morogoro?[/QUOTE

Tunashukuru, karibu sana. Huwezi kucopy kila kitu, inatakiwa ujifunze kuwa mbunifu usiogope kuitetea nchi yako. Umuhimu wa uchumi na maendeleo ya Tanzania ni wajibu wa kila mtanzania kuhakikisha Tanzania inaendelea. Kama unaamini watanzania walio nje hawana haki na nchi sawa, ila kila mtanzania anahaki ya kuilinda, kuipenda, kuitetea na kuiendeleza nchi yake popote alipo
sasa huko us unaiteteaje? au uchaguzi ujao nanyi mtashiriki kupambana na rebuplican na democratic?
 
Acheni u se nge hapa ni jukwaa la siasa za kiistaarabu...mod uko wapi mkuu akina mngulu mchemba la mavi na wassira wanaleta fujo!
 
Kwani mapoliccm yalivyofungua tawi dmv ni kwaajili ya republican na democrats? Acheni propaganda za kimungulu mchemba naza kiwassira
 
Cheki settings zako za color kwenye monitor. Mbona mie naoma rangi Blue ya Chadema--hata kama si royal blue imeelekea zaidi kwenye cyan blue lakini mbona ni blue. Kama unaona kijani check settings za color.
mkuu wewe umeingia kwenye huu uzi na kukuta wameshaedit. angalia mda thread ilipo editiwa. mia
 
Back
Top Bottom