Mkutano wa CHADEMA Dodoma wadorora!

Mkutano wa CHADEMA Dodoma wadorora!

Gardener

Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
37
Reaction score
8
Ukweli ni kwamba pamoja na mbwembwe zote,lakini mkutano huu umeanza sasa hivi,hakuna watu kabisa,nimemuona Mhe.AKONAI na Mbunge wa viti maalum sijamfaham kwa jina,kweli Dodoma chadema bado haina nguvu kabisa.
 
Weka picha, isije ikawa uko Lumumba st halafu unaleta habari za Dom.
 
Naona wanahamisha watu waende kuna cruiser mbili za polisi,znazunguka kila kona,mpaka sasa hali ni shwari tu..
 
Mbona hio kawaida, mnaanza kusema vivyo hivyo halafu baadae picha zikiwekwa mnakimbia thread zenu! Leo usiondoke hadi picha kamili ziwekwe hapa tuone LAKINI PIA ni afadhali watu wasiwepo kwa utashi wao kuliko kuwepo na watu wengi bila utashi wao yaani wapo kwajili ya fulana, kanga na posho pamoja na usafiri!!! Haya siye yetu macho tu
 
Acha uongo,mi npo uwanjani,watu ndo wanawasili uwanjani..magamba wewe!
 
Muongo mkubwa jamaa yangu yuko Dodoma kaniambia kuna umati mkubwa sana.Haijapata kutokea.Mods kuna thread nyingine ya Dodoma ziunganishwe.
 
Naona wanahamisha watu waende kuna cruiser mbili za polisi,znazunguka kila kona,mpaka sasa hali ni shwari tu..

Try to be specific, gari za polisi ndio zinahamasisha watu waende mkutanoni? Au ndio unaanza kujirudi mwenyewe maana nyomi ishaanza kujaaa? Tulia usikurupuke Mpwa, tulia kidogo ivi sasa ni saa nane na nusu, una ratiba ya mkutano? Tulia kwanza, sawa Mpwa, kunywa maji, pumzika then fanya analysis ya kutosha ndio uposti hapa jukwaani!
 
Ukweli ni kwamba pamoja na mbwembwe zote,lakini mkutano huu umeanza sasa hivi,hakuna watu kabisa,nimemuona Mhe.AKONAI na Mbunge wa viti maalum sijamfaham kwa jina,kweli Dodoma chadema bado haina nguvu kabisa.
Tuwekee picha kuthibitisha unachokisema hapa zaidi ya hapo taarifa yako itakuwa haina tofauti na wanaovaa Magamba
 
Hakuna watu jamani mi nipo hapa uwanjani,mimi sio magamba ila natoa kile ninachokiona,tupende kuwa wakweli hata kama inauma!
 
natumia simu,nimepga picha ninazo,maybe watu wanaogopa,lakn mkutano umeanza lakn uwanja ni mweupe.
 
Police watahamasishaje watu,usiwe gamba wewe,cdm walikuwa wanaznguka kukusanya watu hapa mjini
Try to be specific, gari za polisi ndio zinahamasisha watu waende mkutanoni? Au ndio unaanza kujirudi mwenyewe maana nyomi ishaanza kujaaa? Tulia usikurupuke Mpwa, tulia kidogo ivi sasa ni saa nane na nusu, una ratiba ya mkutano? Tulia kwanza, sawa Mpwa, kunywa maji, pumzika then fanya analysis ya kutosha ndio uposti hapa jukwaani!
 
Hakuna watu jamani mi nipo hapa uwanjani,mimi sio magamba ila natoa kile ninachokiona,tupende kuwa wakweli hata kama inauma!

Kama unaweza kuchangia JF live unashindwaje kuweka picha???
 
Naona wanahamisha watu waende kuna cruiser mbili za polisi,znazunguka kila kona,mpaka sasa hali ni shwari tu..
Una uhakika???
CHADEMA.JPG
 
wewe ni muongo hapo sio Dodoma,uwanja ni mweupe!mbona kwny picha yako uwanja wa jamhuri hauonekani.
Uwanja wa Jamuhuri ulitekwa na Magamba wanajifanya ni wao. Hawawezi kuruhusu chama kingine kuutumia. Nape, wajinga wajinga kama hawa unawawekaje kwenye Payroll yako!
 
Hao watu wa Dom, saizi yao DCA sio CDM.
Wanafiki tu hao.
 
Uwanja wa barafu ni nje ya uwanja wa Jamhuri,usiwe mp.mbav.u,kwny picha hyo siyo barafu

Back
Top Bottom