Arnold Ringo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,318
- 394
- Thread starter
- #21
Kila la heri, tupeni updates wakuu!
Kama Kawaida Yetu Chadema Hatufichi wala Hatubebi watu kwenye Malori nitakua naleta UP Dates Kamanda
Kila la heri, tupeni updates wakuu!
Walikuwa wanahutubia hewa?
mbunge makini na jasiri LETICIA NYERERE mwakani anachukua hilo jimbo ...
Hapajui hata BUTIAMA,Anapajua KWIMBA!laki si pesa said:mbunge jasiri LETICIA NYERERE mwakani anachukua jimbo
Hapajui hata BUTIAMA,Anapajua KWIMBA!
Huyo Msalaliti Mwenzenu?
Ukikaa kimya Ni BUSARA Pia !laki si pesa said:Leticia anapendwa Butiama, mwakani lazima achukue jimbo
kutoka Butiama kwa baba wa taifa mkutano wa Chadema ukiendelea viongozi mbali mbali wakiwa jukuwana kuongea na wanainchi Chadema mwendo ni ule ule hakuna kulala mpaka. Mod Nakuomba Usiunge Habari hii na Habari nyingine
![]()
Walikuwa wanahutubia hewa?
mbunge makini na jasiri LETICIA NYERERE mwakani anachukua hilo jimbo ...
Maana Umeshawazoea wale Mnaowaokoteza nakuwabeba kwenye Malori Ujira ni 5000
cdm mnasubiri watu wawarushie mawe ndo mjue wamepoteza imani na nyie?
leticia ni shujaa wa taifa.. amekataa kuwa mateka wa ukawa
Mmmh.
Kumbe kweli Zitto kaiua chadema.
Leticia Nyerere anapendwa sana Butiama, mwakani lazima achukue jimbo