Mkutano wa Chadema Bukoba Live

Jamani chadema,njooni wilaya ya misenyi jimbo hli liko huru na mikakati ni mapema
 
Dah! Kumbe suala la Zitto na sahihi ilikuwa Mkakati wa CDM na Zitto alipewa jukumu kuongoza Kamati. Lwakatare anabainisha. Lengo ilikuwa ni kuwaumbua wabunge wa ccm wanaodandia hoja za CDM...wanataka Wananchi wawajue kuwa ni wanafiki.


ccm wanafikisana.. jana wametoa mapovu sana.. lakini kumbe ni wezi tu wasio na huruma... ni sawa na yuda tu
 
Rwaka anaongea kibukoba tu maneno nengine siyapati kabisa
 
Watu hasa Vijana wanapokea kadi mpya utafiriki sala ya toba na ubatizo baada ya Mkutano wa Mhubiri Mashuhuri..wengine wanarudisha kadiza ccm..muda umekwisha
 
peoplessss,Lwakatare poweeeeer,madiwani wa Bilele na Buyekera wamekuja kundini au bado hawajaamua?mwenyewe namalizia masomo nikija mwezi wa sita mwaka huu ni mikakati mbele kwa mbele ya kuchukua kata ya Karabagaine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…