Lema;
Chadema ni maarufu kuliko kiongozi yoyote..kama kuna kiongozi ni marufu basi atumie umarufu kujenga chama..
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ulitaka ripoti ipelekwe lumumba? ha ha ha ha ha....
hata hivyo wewe ni mpuuzi tu kwa kusoma yanajiri kwenye mkutano....unatofauti gani na aliye Arusha? kila kitu unasoma humu hivyo acha upuuzi wako kwani wewe ni mpuuziNingekuwa mkazi wa Arusha hata nisingejidhalilisha kwa kupoteza wakati kumsikiliza mpuuzi kama huyo.
Watu kila siku wanachangia harusi halafu anakuja mwanasiasa anawakataza kuchagia elimu!
Hivi elimu na harusi kipi muhimu?
Chadema sifuri kabisa...
Ningekuwa mkazi wa Arusha hata nisingejidhalilisha kwa kupoteza wakati kumsikiliza mpuuzi kama huyo.
Lema;
Chadema ni maarufu kuliko kiongozi yoyote..kama kuna kiongozi ni marufu basi atumie umarufu kujenga chama..
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
mabomu. Na vile vitofali amekuja navyo au?
Lema:
Leo nazungumza mambo mawili, umeme. na wasaliti..waliovuliwa uongozi, wanasifa ya kuvuliwa uanachama. Zito aliandika barua kwa tume kuwa mgombea wa cdm atambuliwe na uanachama, akampa pesa mgombe wetu kwa nimrod na ushahidi tunao akamwamrisha katibu kumkatia rufaa mgombea kwa dewji
Anasema chadema haiwezi kumwogopa zitto na ili ujue kuna maajabu magazeti yote ya ccm yanaihurumia chadema mpaka mwigulu nchemba, serukamba wanataka tupatane kweli ccm wanamapenzi na chadema..denis msaki na ameanza kuliharibu gazeti na mhando asikie..
Tulipofukuza madiwani walisema tumekwisha leo tuna meya kutoka chadema..
Chadema imeumndiwa mkakati kuliko unavyo weza kuzania..
Watu kila siku wanachangia harusi halafu anakuja mwanasiasa anawakataza kuchagia elimu!
Hivi elimu na harusi kipi muhimu?
Chadema sifuri kabisa...
Lema:
Leo nazungumza mambo mawili, umeme. na wasaliti..waliovuliwa uongozi, wanasifa ya kuvuliwa uanachama. Zito aliandika barua kwa tume kuwa mgombea wa cdm atambuliwe na uanachama, akampa pesa mgombe wetu kwa nimrod na ushahidi tunao akamwamrisha katibu kumkatia rufaa mgombea kwa dewji
Anasema chadema haiwezi kumwogopa zitto na ili ujue kuna maajabu magazeti yote ya ccm yanaihurumia chadema mpaka mwigulu nchemba, serukamba wanataka tupatane kweli ccm wanamapenzi na chadema..denis msaki na ameanza kuliharibu gazeti na mhando asikie..
Tulipofukuza madiwani walisema tumekwisha leo tuna meya kutoka chadema..
Chadema imeumndiwa mkakati kuliko unavyo weza kuzania..
Hawa Chadema ni mbulula kabisaaa! Haiwezekani tukaendelea kuhubiri watu kwamba wasichangie maendeleo yao, yaani wanachi wazae tu, serikali isomeshe, iondoe karo, michango, daftari itoe bure, peni bure! After all what is serikali km si kila mwanachi? Huu ni uenda wazimu, dhana ya shule za umma sio kwamba serikali itoe bure kila kitu hii nikuwafanya wanaopewa elimu wasiwe na moyo wa kuipenda elimu, make si wanaona ni vya bure! Haiwezekani kabisa huu ni utoto! Chadema achaeni kutengeneza " the irresponsible society" Cheap popularity!
Golugwa;
chama kipo imara na mpaka sasa wasaliti 4 wameshashughulikiwa bado 45 maana walikuwa 50 sasa habakizwi msaliti hata kama kuna watakaoamua kuwafuata maana hata shetani alifuatwa na mapepo machache hilo haliwezi kututisha hata kidogo tunasonga mbele maana tunatumikia shauri la Mungu na daima Mungu huwa anashinda!
Atakayechukia na yeye atakuwa kapungukiwa pia umesema kweli mkuu watu hawapendi ukweli lakini wape tu.Nikisema lema ni aliyepungukiwa akili mtachukia zitto anawahusu nini wananchi wa Arusha anazingumzia umeme kwasababu sasahivi ni mgao sio?
Wananchi wa Arusha hata chadema ikiwa madarakani mayengenezo ya njia za umeme ni lazima yatafanyika na mgao utakuwepo so lema usitudanganye!
Wakati wanasema tusitoe michango shule za msingi jiulize watoto wa lema na wenzake wanasoma shule hizo na hizo shule wanazosoma watoto wao wanasoma bure? Jamani tumekua sasa tufanye maamuzi sahihi CCM ooooooyeeeeeeee!!!iwapo ni kwamateso lakini mmenifikisha hapa! Ccm oooooyyyyuueeeeeeeeeehh!
Nani mkuu kama ni zitto mmeliwa mkimgusa chama cha chadema kaburini.Mh waziri acha kujiaibisha. Yule uliyetegemea aivuruge cdm ameshtukiwa sasa unapiga mayowe tu.
Hakuna ripoti ya matumizi na mapato ya M4C.