Hivi kesi ya hawa jamaa ilimalizwa vipi?hawa CCM na viongozi wake katika haka kawilaya kenye asali kibao ni manyangau,mfano ni huyu cjui CHANDI MARWAambae ni mnec ndo anahusika na uchimbaji madini ndani ya hifadhi,yeye ndo aliinfluence hata wale jamaa wa TISS na OCD wa wilaya wakanasa kwenye mtego wa KIJAZI WA TANAPA,WALIVOKAMATWA MWANZONI MWA MWAKA HUU WAKICHIMBA MADINI NDANI YA HIFADHI.rejea madai ya mwenyekiti wa halmashauri na wizi wa mabillioni,kilaza CHANDE kujipa tender zote hasa za ujenzi wa barabara na makalavati,yeye ndo consultancy na ndo enginear mkuu wakati ni std seven failure,
Mkuu embu fafanua zaidi kuhusu:
1/Kwa nini wazomewe?
2/Nini hasa walichokiongea?
3/Mahudhurio yalikuwaje?
4/Reaction yao baada ya kuzomewa?
5/Picha?
Hawa waalimu hawaaminiki saana,njaa inaweza kumfanya mtu aseme uongo.Sidhani kama ana ushahidi juu ya madini mbugani.Serengeti bado haijapata mtu wa kupambana na ccm.Jamaa arudi tu akafundishe,no more.kwanini wamezomewa au ilikuwaje, je unaweza kutuwekea picha za pande zote mbili? Na kusema chandi ndiye mchimbaji mkubwa serengeti na ndiye aliyeshirikiana na ocd na afisa usalama kwenda kuchimba ndani ya hifadhi unao ushahidi?
Hawa waalimu hawaaminiki saana,njaa inaweza kumfanya mtu aseme uongo.Sidhani kama ana ushahidi juu ya madini mbugani.Serengeti bado haijapata mtu wa kupambana na ccm.Jamaa arudi tu akafundishe,no more.
sikutarajia kama ryoba ni kilaza kiazi hiki. sasa hapa umeandika nini? mbona hueleweki? na huo uandishi wa habari huko chuoni unafundishaje. ewe mungu nakuomba hii thread ise imeletwa na yyule ayub ryoba anayefundisha.