wooden flag
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 969
- 1,951
Wana jukwaa wasalaam,
Leo ccm ndio wanafungua kampeni zao kata ya Sinza C. Kwa kweli wamefunga mziki mzito sana lakini cha ajabu ni kwamba wamekodi wahuni toka tandale halafu wamewavisha t-shirts za ccm Sinza C, hamna la maana linalofanyika zaidi ya nyimbo za taarabu na kuwapa vijana soda na bia
Tulia sindano iingiehadithi hadithi...hadithi njoo uongo njoo...heading yako mkutano wa ccm wadoda maelezo yako wamekodisha vijana wakawapa t-shirt na bia....unachekeeeesha kama sio shida....hao ni wana CCM wa mtaa huo wa sinza C na ukiona vijana wengi ujue CCM ina mizizi mpaka kwa vijana na matokeo utayaona 14 disemba
hizo picha mkutano ulikuwa haujaanza
Hapo mbele ya kijiwe ni maji taka/ machafu? au ndo bia zimenywewa mpaka kumwagika
Yaani na bado, hichi chama ni genge la wahuni,wezi wa mali za umma na wahujumu wa uchumi; ikiwezekana hata kule kuwatazama kwa mbali tuaache kabisa,ccm weka mbali na Watanzania,ni dudu baya.Wana jukwaa wasalaam,
Leo ccm ndio wanafungua kampeni zao kata ya Sinza C. Kwa kweli wamefunga mziki mzito sana lakini cha ajabu ni kwamba wamekodi wahuni toka tandale halafu wamewavisha t-shirts za ccm Sinza C, hamna la maana linalofanyika zaidi ya nyimbo za taarabu na kuwapa vijana soda na bia
Jamani tujitahidi Chama changu naona hali Si shwari kila upande tutakuwa wageni wa nani?