Mkutano wa CCM mtaa wa Tenge Tabata

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,286
Wakuu za Jumapili,hapa mtaani kwetu leo kuna kampeini za CCM ila kiukweli zimedoda,pamoja na kuja na wanawake wanaojibaraguza na kujivua nguo ila hakuna kitu.

Mkutano umejaa watoto na hao ma mama wa kanga moko..Ama kweli wakazi wa Tenge wameamka na wanasema hawadanganyiki CHADEMA ndio chama chao.Mkutano unafanyika hapa nje kwenye shule ya Mkwepa kodi mama Rwakatale.
 
jaslaw muono mkubwa wewe mimi nipo hapa sasa hivi na watu wamejaa ile mbaya wakina mama ni sehemu tu ya umati wa watu nandio wapiga kura wataotupigia kura..huna cha kusema huna hata picha uliyotupia unadai mkutano umedoda halafu unakuwa msemaji wa wana mtaa wa tenge tabata..mzushi..muongo...
Wakuu za Jumapili,hapa mtaani kwetu leo kuna kampeini za CCM ila kiukweli zimedoda,pamoja na kuja na wanawake wanaojibaraguza na kujivua nguo ila hakuna kitu.

Mkutano umejaa watoto na hao ma mama wa kanga moko..Ama kweli wakazi wa Tenge wameamka na wanasema hawadanganyiki CHADEMA ndio chama chao.Mkutano unafanyika hapa nje kwenye shule ya Mkwepa kodi mama Rwakatale.
 
Nawashauri CCM waanze kutembea na fiesta ili kuvutia watazamaji! Kiukweli ccm inazidi kuchokwa na watz,wengi wao wameamua kuipuuza
 
Wakuu za Jumapili,hapa mtaani kwetu leo kuna kampeini za CCM ila kiukweli zimedoda,pamoja na kuja na wanawake wanaojibaraguza na kujivua nguo ila hakuna kitu.

Mkutano umejaa watoto na hao ma mama wa kanga moko..Ama kweli wakazi wa Tenge wameamka na wanasema hawadanganyiki CHADEMA ndio chama chao.Mkutano unafanyika hapa nje kwenye shule ya Mkwepa kodi mama Rwakatale.

Picha please!
 
Wana ccm wezangu hali ni mbaya, tupambane kweli. Na inabidi tujipange kwenye issues zetu za wizi wa kura, bila hivyo tutaaibika
 
Wakuu za Jumapili,hapa mtaani kwetu leo kuna kampeini za CCM ila kiukweli zimedoda,pamoja na kuja na wanawake wanaojibaraguza na kujivua nguo ila hakuna kitu.

Mkutano umejaa watoto na hao ma mama wa kanga moko..Ama kweli wakazi wa Tenge wameamka na wanasema hawadanganyiki CHADEMA ndio chama chao.Mkutano unafanyika hapa nje kwenye shule ya Mkwepa kodi mama Rwakatale.

asante sana kwa kufichua siri .
 
Escrow!!!
 
Back
Top Bottom