habibu bakili
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 202
- 51
tumemruhusu akatumbue tu josephine.!Dr. Slaa ameshawalipa ile hela ya ruzuku aliyojikopesha
are you happy?????
tumemruhusu akatumbue tu josephine.!Dr. Slaa ameshawalipa ile hela ya ruzuku aliyojikopesha
naona unavijinjari tu na ''hp Elite book'' ya lumumba.!!Tutakuwa na weka mbali na wake za watu (babaaa Jose).
Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums
tumemruhusu akatumbue tu josephine.!
are you happy?????
umemaanisha NCHEMBA AU WASSIRA? wote hawa ni wezi wa wake za watu
TBC TV na Radio kesho zitarusha matangazo ya moja kwa moja ya mkutano wa hadhara wa CCM utakaofanyika katika viwanja vya shule ya msingi uwanja wa Ndege mjini Morogoro.
CCM ni kazi tu! Hatuna muda wa maneno na matamko.
Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums
hatushabikii chadema bali tunashabikia kushamiri kwa demokrasia nchini.!Poleni sana. Ukiona mtu anaishabikia CHADEMA ujue ndiyo inayomweka mjini.
Mwananchi wa kawaida hawezi kuishabikia CHADEMA
TBC TV na Radio kesho zitarusha matangazo ya moja kwa moja ya mkutano wa hadhara wa CCM utakaofanyika katika viwanja vya shule ya msingi uwanja wa Ndege mjini Morogoro.