gmosha48
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 2,399
- 1,478
OK The true color is coming out of him now! Katika red hapo Mmmmhhhh!
Roja, roja, nimekusoma kamanda!
OK The true color is coming out of him now! Katika red hapo Mmmmhhhh!
Slaa anazini kwa mujibu wa sheria za nchi..
Anatakiwa adharauliwe na kupuuzwa...sijui utaiga nini kutoka kwake..lol..
Kanisani (muasi), uraiani (wake za watu), chamani ubabe na ubinafsi..
we mwigulu mbona humsemi wasira uliyenae aliyempachika house girl mimba au ana makinda shuga mumy?au silaa tuu ndio unamuna na boss aliyeza na miss tz wa miaka ile!! We unajua.
Mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari
Mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akiomba kura kwa wananchi waliofurika kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Maji ya Chai jimboni humo, jana. eneo hilo linadaiwa kuwa ndiyo ngome ya CHADEMA.
Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde 'akiwachana' CHADEMA kwenye mkutano uliofanyika Maji ya Chai ambako inasemekana ni ngome ya chama hicho
Mwimbaji wa Kundi la Tanzania One Theatre (TOT) Khadija Kopa akihamasisha kwa wimbo wakati wa mkutano huo Maji ya Chai
Mratibu wa kampeni za CCM, Mwigulu Nchemba akimnadi Sioi Sumari kwenye mkutano huo.
Wafuasi wa CCM wakishangilia wakati wa mkutano huo.
Huwezi kunilazimisha kumheshim padri mzinzi. Nami sipo kuwafurahisha CDM. Tar mosi tunachagua kati ya amani ya yesu ccm na vurugu za shetan. Najua arumeru wachamungu watachagua amani yaani ccm. Wana cdm wasio penda ukweli wakinishambulia ni sawa tu wala sihitaji sifa zao. Ni kama vile shetani akinisifia sio jambo la kufurahia. Kulala chumba kimoja na wanaume ndio utamaduni niliokulia tuna nyumba ya wanaume. Huwezi kunipangia kusafiri na mke wangu ubunge sio wa familia yeye naye ana kazi yake. Hii kazi ya kufikiria kwa kutumia kamasi badala ya ubongo na kujiita great thinker tabu kweli.

Mimi sihalalishi hayo. Unasema amesema lini jibu amesema king'ori pia maji ya chai na kwingineko. Sasa mwenye mke au girlfriend wake ambaye anaushahidi kuwa aliwahi kuniona naye ataje jina na eneo aliponikuta tuache uzushi na chuki za siasa. Mimi nina mke wa ndoa na watoto wawili angalia slaa ana mchumba amezaa nae na alikuwa mkee wa mtu. Hapo kweli unayejibu kama network iko sawa unaona slaa ni wakupanda jukwan na kusema mwigulu mzinzi. Mseme slaa kwa hilo bibilia haibadiliki afanyae mapenzi na mwanamke ambaye hajafunga nae ndoa ANAFANYA UZINZI NA AZINIE NA MWANAMKE NI NJINGA KABISA. SASA HUYO MZEE KILA SIKU ANAZINI.
Bossi Inasemekana Igunga uliachiwa mke na jamaa baada ya kukufumania na ukamlipa 2m je uko tayari picha zikipatikana ziwekwe jamvini?
Mzee! Pole pole.This is too high to deliver.