Mkutano wa CCM Kata ya Tindigani aibu tupu! Watawaliwa na matusi badala ya sera

Status
Not open for further replies.
Kuna kata 17 Arumeru hakuna kata inaitwa KATA YA TINDIGANI. MIMI SIJASEMA NAMCHUKIA NIMESEMA NAMDHARAU. MIAKA 69 ANA MCHUMBA NA AMEZAA NAE HALAFU ANASEMA MWIGULU MZINZI. YULE ALIYEZAA NAYE AMFUNGA NAE NDOA? AFANYAE MAPENZI NA MWANAMKE AMBAYE HAJAFUNGA NAE NDOA ANAFANYA UZINZI.

Your CV please, you seem stupid!
 
Mwigulu LM Nchemba,
Hongera sana kwa majibu yako mazuri, usiwasikilize hawa wahuni wa JF yaani utukwane na Dokta Slaa, halafu ukae kimya hilo sio sawa badala wamkataze Dokta Slaa wanakushambulia wewe, kauzu yoyote mjibu kikauzu.
 
Hivi lini sera za matusi zitaisha TZ? Kwanini tunashindwa kuwaeleza wananchi wetu tutawafanyia nini iwapo watatupa ridhaa yao?
 
Dr. Slaa alipanda kisimbani kujibu hizi shutuma. Mahakama ikaona kuwa hana hatia, sasa mnapotumia hiyo scandal kama point ya kuombea kura hamuoni kwamba mkiitwa wendo wazimu itakuwa mtu hakosei. We naona una n.y>e~g/e na dr wa ukweli.

Losomich umenyosha mkuu....i mean ujamung'unya maneno.
 
Mwigulu LM Nchemba,
Hongera sana kwa majibu yako mazuri, usiwasikilize hawa wahuni wa JF yaani utukwane na Dokta Slaa, halafu ukae kimya hilo sio sawa badala wamkataze Dokta Slaa wanakushambulia wewe, kauzu yoyote mjibu kikauzu.

Hilo la yeye kumtukana Dr. Slaa inawaongezea kura kwa mgombea wenu?wanaarumeru wamechoshwa na matusi yenu.
 
Hilo la yeye kumtukana Dr. Slaa inawaongezea kura kwa mgombea wenu?wanaarumeru wamechoshwa na matusi yenu.
Dr ndio alianza kuwaambia wana Arumeru kuwa kampeni meneja wa CCM ni mzinzi
Mwigulu akarudisha makombora kwa Dr kwamba nanai mzinzi kati yao.............?

Dr ndio alianza kuwaambia wana Arumeru kuwa kampeni meneja wa CCM ni mzinzi
Mwigulu akarudisha makombora kwa Dr kwamba nanai mzinzi kati yao.............?

Hilo ni tusi moja tu ambalo umelisikia tafakari na haya:
1. Wanachama wa cdm wote wanamimba na watajifungua april mosi
2. Nassari ana Ngo ila anafanya kazi ya kuosha mbwa kwa mzungu
3. Wanameru hawaitaji sera bali wanaitaji porojo
Hayo ni kwa kifupi sasa je haya ndiyo muliyowatuma?
 
Mkuu mimi nilikuwa nime comment kuhusu post yako hii
Hilo la yeye kumtukana Dr. Slaa inawaongezea kura kwa mgombea wenu?wanaarumeru wamechoshwa na matusi yenu.
Lakini mkuu hizi si ndio siasa zetu za majitaka? si kwa CDM wala CCM
 
Mzee! Pole pole.This is too high to deliver.

Nyie watu mnko nchi gani?Hata sheria za nchi yenu hamzielewi......ukiishi na mwanamke kwa miezi mingapi hata kama hamjafunga ndoa kanisani atahesabika mkeo kisheria?Nyambafuni.... na linchembi lenu lisilojua kampeni linaenda kuangalia wake za watu........!!!!
 
Huwezi kunilazimisha kumheshim padri mzinzi. Nami sipo kuwafurahisha CDM. Tar mosi tunachagua kati ya amani ya yesu ccm na vurugu za shetan. Najua arumeru wachamungu watachagua amani yaani ccm. Wana cdm wasio penda ukweli wakinishambulia ni sawa tu wala sihitaji sifa zao. Ni kama vile shetani akinisifia sio jambo la kufurahia. Kulala chumba kimoja na wanaume ndio utamaduni niliokulia tuna nyumba ya wanaume. Huwezi kunipangia kusafiri na mke wangu ubunge sio wa familia yeye naye ana kazi yake. Hii kazi ya kufikiria kwa kutumia kamasi badala ya ubongo na kujiita great thinker tabu kweli.

Umejishusha sana hadhi kwa hii hoja yako ndugu. Yaani maneno yaliyopo katika hii aya yanatoa ushahidi ni kweli ccm kuna vilaza. Na wewe ndo wamekupatia nafasi gani vile?
 
Nyie watu mnko nchi gani?Hata sheria za nchi yenu hamzielewi......ukiishi na mwanamke kwa miezi mingapi hata kama hamjafunga ndoa kanisani atahesabika mkeo kisheria?Nyambafuni.... na linchembi lenu lisilojua kampeni linaenda kuangalia wake za watu........!!!!

Kwa hiyo Slaa ana Mke? Lille babu ni zinifu na ni mfano mbaya kwa jamii. Liambie kutukanana na wajukuu zake majukwaa linajitafutia kifo cha aibu.
 
mwigulu nchemba?kidume cha mbegu,uchaguzi mdogo halahala wenye wake zenu arumeru
 
Mimi sihalalishi hayo. Unasema amesema lini jibu amesema king'ori pia maji ya chai na kwingineko. Sasa mwenye mke au girlfriend wake ambaye anaushahidi kuwa aliwahi kuniona naye ataje jina na eneo aliponikuta tuache uzushi na chuki za siasa. Mimi nina mke wa ndoa na watoto wawili angalia slaa ana mchumba amezaa nae na alikuwa mkee wa mtu. Hapo kweli unayejibu kama network iko sawa unaona slaa ni wakupanda jukwan na kusema mwigulu mzinzi. Mseme slaa kwa hilo bibilia haibadiliki afanyae mapenzi na mwanamke ambaye hajafunga nae ndoa ANAFANYA UZINZI NA AZINIE NA MWANAMKE NI NJINGA KABISA. SASA HUYO MZEE KILA SIKU ANAZINI.
Du! aisee!! hivi we uliendaga shule kufanya nini???..mbona TZ ina watu wa ajabu hivi???...hivi wewe ulitumwa na chama chako ccm ili ukafanye kampeni kwa kutukana watu???....what kind of a leader are you???hivi nyie huwa mnafikiria hata mnakotoka kweli???i mean jimbo lako wanajua unachofanya kweli???......sasa wewe kiongozi unetegemewa na chama chako unakuwa na mawazo na fikra za kiendawazimu kiasi hiki...je wale ambao unawasimamia watakuwaje??alafu ndio nyie mnatamba kwamba mtawaletea watanzania maendeleo kweli????kwa mtindo huu kweli??...wewe jimboni mwako kuna watu wanakula majani....ambao walikuchagua kwa mategemeo makubwa sana....leo we uko jimbo la wenzako unatukana viongozi wa vyama vingine kama njia ya kutafuta kura kwa jimbo la wengine....kwa kuwa hujali....unatukana ukijua liwalo na liwe..jimbo sio lako hilo.....hizi dhambi hizi hakika zitawatokea puani...iko siku.....mnavaa suti na kutumia kodi za wanaowachagua huku mkifanya siasa za chooni....kwa kuwa hamjali.......yaani ninapoangalia comments za watu kama wewe...i feel like this country is cursed yaani.....i mean..for a leader from the leading party(ccm) to come out and suck like this!!!its intolerable yaani....i wish i had power yaani...to eliminate the types like you from any kind of leadership yaani...maana you suck big time yaani.....
 
pluraladul·ter·ies

Definition of ADULTERY

: voluntary sexual intercourse between a married man and someone other than his wife or between a married woman and someone other than her husband; also: an act of adultery- Merriam Webster Dictionary.

Naomba tulijadili hili. Je, ingawa inaudhi wafuasi wengi wa CDM,uhusiano kati ya katibu mkuu wa CDM na mchumba wake ni adultery?
Kama ndiyo, wananchi ndiyo wataoamua kama hili jambo ni la kuvunja heshima au la. Lakini msimlaumu mtu akisema ukweli.
We mpumbavu, mjadala wa kijuha kama huo unawasaidiaje wapiga kura wa Arumeru? Mwambie mjinga mwenzio huyo aeleze CCM inampango gani kuwarejeshea wameru ardhi yao iliyoporwa na CCM nakuigawa kwa walowezi. Hivi nyie wasomi wawapi? au ndie mlie soma kwa madesa na kutoka vyuoni mkiwa watupu?
 
Kumbe uko nyuma ya habari mkuu..

Wanafunzi wote 20 waliofukuzwa kwasababu za udini na chuki za wakristo kwa waislamu wameruhusiwa kufanya mitihani na mwalimu mkuu amechukuliwa hatua za kinidhamu (in fact amehamishwa shule effectively)..

Ama kuhusu madrasa wataenda tu mkuu kusoma elimu ya dini wajibu kwa muislam mwanamke na mwanamume..hofu ondoa inaweza kuwa pakistan, india, arabuni, misri etc..
Topical, inaonesha huwa huwasiliani vizuri na waathirika wa ushauri wenu mbovu. Wale watoto waliambiwa waende kufanya mitihani wao walibaki pale muskiti wa Mpowora, mitihani ilipita salama na wao wakabaki musikitini.............sasa watafanya mitihani lini tena? Mkuu wa shule unae mtakia mabaya bado yupo shuleni hapo na ni juzi tu alikuwa Arusha kuchagua vijana wa kidato cha tano, kwa taarifa yako amepewa barua ya pongezi kwa namna alivyo lishughurikia swala hilo kwa uadilifu na ueledi mkubwa.
 
Du! aisee!! hivi we uliendaga shule kufanya nini???..mbona TZ ina watu wa ajabu hivi???...hivi wewe ulitumwa na chama chako ccm ili ukafanye kampeni kwa kutukana watu???....what kind of a leader are you???hivi nyie huwa mnafikiria hata mnakotoka kweli???i mean jimbo lako wanajua unachofanya kweli???......sasa wewe kiongozi unetegemewa na chama chako unakuwa na mawazo na fikra za kiendawazimu kiasi hiki...je wale ambao unawasimamia watakuwaje??alafu ndio nyie mnatamba kwamba mtawaletea watanzania maendeleo kweli????kwa mtindo huu kweli??...wewe jimboni mwako kuna watu wanakula majani....ambao walikuchagua kwa mategemeo makubwa sana....leo we uko jimbo la wenzako unatukana viongozi wa vyama vingine kama njia ya kutafuta kura kwa jimbo la wengine....kwa kuwa hujali....unatukana ukijua liwalo na liwe..jimbo sio lako hilo.....hizi dhambi hizi hakika zitawatokea puani...iko siku.....mnavaa suti na kutumia kodi za wanaowachagua huku mkifanya siasa za chooni....kwa kuwa hamjali.......yaani ninapoangalia comments za watu kama wewe...i feel like this country is cursed yaani.....i mean..for a leader from the leading party(ccm) to come out and suck like this!!!its intolerable yaani....i wish i had power yaani...to eliminate the types like you from any kind of leadership yaani...maana you suck big time yaani.....

Mfano mzuri ni igunga waliwaada wana igunga wakachakachua kura ili wafanikishe azma yao walipomaliza wakarudi na kafumu Dsm kumpongeza kwa ushindi huku wakiwaacha wanaigunga wakitaabika.wameru wameshtuka mnataka kuwachagulia mbunge wa mbezi beach.
 
Kumbe Slaa, ndio alianza kumshambulia Mwigulu Nchemba kuwa ni mzinzi duu!!
 
Kuna kata 17 Arumeru hakuna kata inaitwa KATA YA TINDIGANI. MIMI SIJASEMA NAMCHUKIA NIMESEMA NAMDHARAU. MIAKA 69 ANA MCHUMBA NA AMEZAA NAE HALAFU ANASEMA MWIGULU MZINZI. YULE ALIYEZAA NAYE AMFUNGA NAE NDOA? AFANYAE MAPENZI NA MWANAMKE AMBAYE HAJAFUNGA NAE NDOA ANAFANYA UZINZI.

Sheria za nchi zinatambua mwanake ileishi nae miezi 6 kuwa mke halali, hata ndugu wa pande zote wanatambua hivo. As opposed to you ulishuhudiwa na mke wa kada mwenzio, hata wamasai huacha mkuki nje kwa tahadhari. U're so pathetic dude u brought it on urself.. Isitoshe Slaa hakuwahi kusikika akikutusi. Limao!!
 
kama kawaida ya kampeni za CCM kutawaliwa na matusi bila sera yakiongozwa na Mwigulu eti anasema kama akiulizwa hapa duniani ataje mtu mmoja anayemchukia basi ni Dr.Slaa, akiendelea kudai eti CHADEMA wamefulia sababu kikwete amekataa ushoga. Wanatembea na waraka wanaodai ni wa CHADEMA kukiri kushindwa chakustajabisha mgombea wao Siyoi kapewa 10dk kuongea.

katika huo mkutano wengi walikuwa CHADEMA na kikundi kidogo cha wana-CCM waliogawiwa vitambaa ili washangilie kwa ujumla wananchi wamesikitishwa na matusi yaliyokuwa yakitolewa na viongozi wa ccm.

Mytake:
CCM kwisheni wameishiwa sera wamebaki na matusi tu.
sasa kumchukia slaa ndio tusi au;;weka hayo matusi acha siasa za meya wa dsm
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom