L lupe JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 5,656 Reaction score 218 Dec 15, 2013 #41 Earthmover said: ....Niko Chuga wewe!! HAKUNA CCM ARUSHA!!! LABDA MAJENGO NA VIBENDERA VILIVYO CHOKA Click to expand... Hahaha hahaha hahaha hahaha
Earthmover said: ....Niko Chuga wewe!! HAKUNA CCM ARUSHA!!! LABDA MAJENGO NA VIBENDERA VILIVYO CHOKA Click to expand... Hahaha hahaha hahaha hahaha
H Honolulu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 5,648 Reaction score 1,729 Dec 15, 2013 #42 CUF Ngangari said: Wachaga wanaota ipo siku wataiongoza hii nchi kutokea moshi? Huu ndio ujinga wao. Click to expand... Vibaka wa buku 7 kazini!!!!!
CUF Ngangari said: Wachaga wanaota ipo siku wataiongoza hii nchi kutokea moshi? Huu ndio ujinga wao. Click to expand... Vibaka wa buku 7 kazini!!!!!
victor shio JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 651 Reaction score 109 Dec 15, 2013 #43 Yani kuna mambulula yakilala mchaga wakiamka mchaga mchaga kalanini chamama yenu kama huna hoja 2liza mshono utibiwe poyoyo wewe.
Yani kuna mambulula yakilala mchaga wakiamka mchaga mchaga kalanini chamama yenu kama huna hoja 2liza mshono utibiwe poyoyo wewe.
H Honolulu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 5,648 Reaction score 1,729 Dec 15, 2013 #44 genekai said: Nadhani waende tu Songea na Tanga, vinginevyo kwenda A C ni kutafuta aibu tu!!!! Click to expand... Labda wanakwenda kupanga mikakati ya kuua tena!!!
genekai said: Nadhani waende tu Songea na Tanga, vinginevyo kwenda A C ni kutafuta aibu tu!!!! Click to expand... Labda wanakwenda kupanga mikakati ya kuua tena!!!
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,211 Reaction score 99,970 Dec 15, 2013 #45 Jamani huu mkutano ulifanyika kweli?
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Dec 15, 2013 #46 Filipo said: Hivi kuna mwana ccm Arusha! Au wanawaleta Monduli na Arumeru kuja kufanyia mkutano Kilombero! Lets see! Nitajitahidi kufika niwaleteeni picha! Click to expand... ccm walikosea, wakati wanatangaza wangesema mkutano utahutubiwa na makamanda Godbless Lema, Alfonse Mawazo, Ally Bananga, na Ephata Nanyaro watu wangejaa. Mkutano uliishia kama kikao cha familia
Filipo said: Hivi kuna mwana ccm Arusha! Au wanawaleta Monduli na Arumeru kuja kufanyia mkutano Kilombero! Lets see! Nitajitahidi kufika niwaleteeni picha! Click to expand... ccm walikosea, wakati wanatangaza wangesema mkutano utahutubiwa na makamanda Godbless Lema, Alfonse Mawazo, Ally Bananga, na Ephata Nanyaro watu wangejaa. Mkutano uliishia kama kikao cha familia
aminangalo JF-Expert Member Joined Aug 31, 2013 Posts 974 Reaction score 190 Dec 15, 2013 #47 Mkutano ulikuwa kamili gado sana