Wakuu Jf,
Tokea Jana mapema Gari la matangazo limekuwa likipita maeneo mbalimbali mini Arusha Kuwait Luna Mkutano utakao fanyika maeneo ya Kilombero karibu na Hospitality ya Levolosi.
Msisitizo wa kufika ni mkubwa kutokana na Ajenda walizokuwa wakisema kwamba watazungumzia.
Acha ujinga we umefika lini arusha au unasikia tu tetesi
Mtaswali mapema baada ya hapo nikasikilize sera tumechoka matusi ya akina lema na Chadema yao kila siku
Mara yamwisho kwenda mkutano wa hadhara ni sikuile slaa alisema nchi haitatawalika tena pale NMC nakufa wa watatu tangusiku hiyo niligoma kutolewa kafara na wachaga
Wewe ndie mjinga... Ni kweli hakuna ccm arusha
Achana nae huyo, haijui Arusha vizuri!
Acha ujinga we umefika lini arusha au unasikia tu tetesi
Wachaga wanaota ipo siku wataiongoza hii nchi kutokea moshi? Huu ndio ujinga wao.
....Niko Chuga wewe!! HAKUNA CCM ARUSHA!!!
LABDA MAJENGO NA VIBENDERA VILIVYO CHOKA
kama ni pale kwenye uwanja wa samunge sidhani kama watu watazidi Elfu mbili, mimi nitapita kwa mbali ili kuakikisha nisemavyoWakuu Jf,
Tokea Jana mapema Gari la matangazo limekuwa likipita maeneo mbalimbali mini Arusha Kuwait Luna Mkutano utakao fanyika maeneo ya Kilombero karibu na Hospitality ya Levolosi.
Msisitizo wa kufika ni mkubwa kutokana na Ajenda walizokuwa wakisema kwamba watazungumzia.
wachaga wanaota ipo siku wataiongoza hii nchi kutokea moshi? Huu ndio ujinga
wao.
Acha ujinga we umefika lini arusha au unasikia tu tetesi
ili kuthibitisha kauli yako nitajie majina matatu ya mjumbe wako wa shina , ila asiwe MULONGO .
Achana nae huyo! Anafikiri mkutano unafanyika Kitumbeine!
Kumbe ndio maana mkutano umepangwa Ijamaa!?
Kwani ni mkutano wa chama au Mhadhara? Kama ndio hivyo nadhani kutakuwa na mabasi/malori kuanzia pale Bondeni na Masjid Quba kuelekea Kilombero. Tshirt, kanga na kofia zitagaiwa baada ya Mawaidha!
ili kuthibitisha kauli yako nitajie majina matatu ya mjumbe wako wa shina , ila asiwe MULONGO .