Mkutano wa Act Kigoma cineatlas ujiji wazomewa

Mkutano wa Act Kigoma cineatlas ujiji wazomewa

Ally mvano

Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
73
Reaction score
24
Ni baada ya kumporomoshea matusi mgombea wa Jimbo Hilo wa 2010 Ally Khalfani Mleh.taarifa zaidi tutawajuza.
 
Itawachukua miaka 1000 kwa ACT kufikia level ya sasa ya NCCR
 
Acha upashu!!!! Tulia kusanya taarifa ndio uje hapa!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
... Ingekuwa Act Ni Chama Cha Upinzani, Hata Mimi Ningejiunga. Lakina Sasa....
 
ACT mbona mikutano yao mingi ni Kigoma kuna siri gani?
Nauliza tu.
 
Chama kilichoanzishwa na ccm kwa misingi ya kilaghai hakitofika popote! Kitakufa kabla hata ya uchaguzi
 
ni kwa sababu amekataa kujiunga nao! wao walidhani wakazi wote wa kigoma watawaunga mkono!
 
Huyo mleta mada mwongo sana wala hakuna mtu aliyezomewa. Na mkutano umeisha salama.
 
Back
Top Bottom