Tetesi: GE2025 Mkutano mkuu CCM kurejesha wagombea wote na sio watatu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tarimemjini

Member
Joined
Jul 10, 2025
Posts
71
Reaction score
142
Kutokana na hali ya joto na mivutano ndani ya CCM juu ya uteuzi wa watia nia watatu katika kugombea nafasi za Ubunge na udiwani imebidi mkutano mkuu maalum uitishwe kwa njia ya mtandao.

Madhumuni ya mkutano huo mkuu ni kutengua kanuni waliyoipitisha January 2025 juu ya mchakato wa uteuzi wa wagombea katika uwakilishi katika vyombo vya Dora.

Maandalizi yamekamilika ili mkutano huo mkuu utengue kanuni hiyo ili wagombea wote waliochukua fomu waingie katika kura za maoni.

Ikumbukwe hadi sasa kuna wagombea wanaozunguka na kugawa pesa kinyume na taratibu, kanuni na maagizo ya Chama.

Huu ni mtego kwa wagombea ambao hawaamini katika rushwa na uvunjifu wa kanuni za Chama.

Jambo hili likifanyika litazidi kuifanya CCM kuwa sehemu muhimu ya ufisadi na uhujumu uchumi.
 
Mfumo waliotumia CCM kupitisha wagombea watatu TU ni mfumo mzuri na imara,muhimu walinde rusha
Hata mimi binafsi naunga huu mfumo mkono maana unaweza saidia ondoa wagombea wasio na maadili haswa watoa rushwa na kuleta wagombea waliofanyiwa vetting vizuri.

Naamini mfumo huu ni mzuri zaidi ya kuleta wote maana wengine ni mafisadi hayashindwi kuweka hata bilioni 3 kushinda uchaguzi.
 
Kutokana na hali ya joto na mivutano ndani ya CCM juu ya uteuzi wa watia nia watatu katika kugombea nafasi za Ubunge na udiwani imebidi mkutano mkuu maalum uitishwe kwa njia ya mtandao.

Madhumuni ya mkutano huo mkuu ni kutengua kanuni waliyoipitisha January 2025 juu ya mchakato wa uteuzi wa wagombea katika uwakilishi katika vyombo vya Dora.

Maandalizi yamekamilika ili mkutano huo mkuu utengue kanuni hiyo ili wagombea wote waliochukua fomu waingie katika kura za maoni.

Ikumbukwe hadi sasa kuna wagombea wanaozunguka na kugawa pesa kinyume na taratibu, kanuni na maagizo ya Chama.

Huu ni mtego kwa wagombea ambao hawaamini katika rushwa na uvunjifu wa kanuni za Chama.

Jambo hili likifanyika litazidi kuifanya CCM kuwa sehemu muhimu ya ufisadi na uhujumu uchumi.
Hapa ni hateri sana chawa watachwa bila kupita, na chama kitakua na uponzani wa ndani ya chama.
 
Kutokana na hali ya joto na mivutano ndani ya CCM juu ya uteuzi wa watia nia watatu katika kugombea nafasi za Ubunge na udiwani imebidi mkutano mkuu maalum uitishwe kwa njia ya mtandao.

Madhumuni ya mkutano huo mkuu ni kutengua kanuni waliyoipitisha January 2025 juu ya mchakato wa uteuzi wa wagombea katika uwakilishi katika vyombo vya Dora.

Maandalizi yamekamilika ili mkutano huo mkuu utengue kanuni hiyo ili wagombea wote waliochukua fomu waingie katika kura za maoni.

Ikumbukwe hadi sasa kuna wagombea wanaozunguka na kugawa pesa kinyume na taratibu, kanuni na maagizo ya Chama.

Huu ni mtego kwa wagombea ambao hawaamini katika rushwa na uvunjifu wa kanuni za Chama.

Jambo hili likifanyika litazidi kuifanya CCM kuwa sehemu muhimu ya ufisadi na uhujumu uchumi.
Vipi kuhusu urais?
 
D

Dola na siyo dora...andiko lako ni pumba tupu
 
Mwenyekiti mwenyewe anaongoza kwa kugawa pikipiki, baskeli, kanga na Tshirt. Kama ni tatizo waanze na Mwenyekiti wao.
 
The law does not operate retrospectively but prospectively.

Ni kanuni!
 
Mkutano mkuu CCM hauwezi kurejesha wagombea wote na sio watatu kwa sababu, Madiwani wa viti maalum nchi nzima ,uchaguzi ulipitia mfumo huo,na ulionyesha mafanikio makubwa sana.
 
ULIMWENGU WA SASA MATUMIZI MAKUBWA NI YA ARTIFICIAL INTELLIGENCE (ROBOT) NOW WHATSAPP KUNA ROBOT MAARUFU KAMA WHATSAPP BOT.

""baadhi ya features zilizopo kwenye whatsapp bot""

1. VIEW STATUS HERSELF THEN JUST NOW 🙄📱Ina uwezo wa kuview status hata ukiwa offline muda wowote.

2. TUMA NYIMBO KWA ONE COMMAND 💿💻Unaweza mtumia mtu nyimbo yoyote ile kwa one command mfano unaandika tu "play Ruger bounce song" na nyimbo inaenda muda huo huo kama umedownload.

3. ALWAYS ONLINE 📱 Unaweza kuset always online. Yaani mtu akikutumia ujumbe muda wowote ataona ujumbe umefufikia hata kama upo offline.

4. ALWAYS TYPING 🖥️⌨️ Unaweza set always typing yaani 😂 hii kwa wale wazinguaji ndio mahala pake,, labda umeingia kwenye group ukaona group limepoa unaset tu always typing wadau kule kwenye group muda wote watakuona una typing wakati hata kama upo offline 😂🤭.

5. ALWAYS RECORDING 🎤 hii unaweza kuset muda wote uonekane una record hata ukiwa offline.

6. AUTOBIO 🎮 hii unaweza kuset kila baada ya dkk 1 bio yako iwe Ina jiupdate bio ni kule ambapo unaset kwa mfano labda ,, Busy au At school au available au sleeping nk.

7. PICTURE KUWA STICKER 📸 hapa pia unaweza ukaset ukaigeuza picture yako kuwa sticker kwa kureply kwenye picture unayotaka iwe sticker unaandika tu . sticker na inakuwa sticker muda huo huo.

8. MANENO KUWA VOICE NOTE 🫦 hapa unaweza kuandika labda "hello how are you doing" kwa maneno na ikawa voice note 😱.

9. UNAWEZA UKACONTROL MAGROUP YAKO YOTE hata ukiwa offline unaweza ukacontrol magroup kwa kuset bot kwa mfano hutaki mtu atume link kwenye group lako utaset mtu akituma link itampa onyo mara ya kwanza mpk mara tatu alafu ika mzuia kwa muda au kumtoa kwenye group
Hii ni introduction tu ila Kuna features zaidi ya 300+

Tunatengeneza bot kwa Tzs =/2000 tu
Contact: nitumie massage Whatsapp +255623553450

Pay after work ✅
 
For as long as Chura Kiziwi hapitishwi kwenye mchujo, chochote watakachofanya ni batili kwetu.
 
Back
Top Bottom