Vipi Lusinde mnamkaribisha?
Mpango wa chadema ni kuchukua makao makuu ya ccm 2015.
Hapo barafu ni padogo sana, shule ya jamhuri imechukua sehemu kubwa na kale kamgahawa pale katikati.
Kwanini msiombe uwanja wa Jamhuri?
saafiii sanaaa...mapambano yanaendelea...
Kondoa pigeni kambi kabisa kwani uislamu umetawala pale na u-CUF.
ni kwamba mchizi ameuliza swala2 km vp jimbo la lusindi si mbali,ni kufanya maamuzi2 wanaweza kwenda ila sidhani km kuna umuhimu kwa sasa.Waende wakafanye mkutano Jimbo la lusinde.
Wana jf na wana Chadema wote waishio dodoma ni kwamba siku ya jumatano tar 11/4/02 kutakuwa na mkutano mkubwa wa chama tajwa utakaofanyikia katika viwanja vya BARAFU-dodoma kuanzia saa saba mchana.atakuwepo na kuhutubia mh.F.Mbowe akiambatana na wabunge wengine mashuhuri wa chdm;mdee,msigwa,wenje,mnyika,sugu,kabwe,Lisu,silinde nk.pia tutampokea na kumkaribisha dogo janja a.k.a mh sana J.Nassari!karibuni nyote!NAPE&MWIGULU KARIBUNI pia mkamshangilie dogo janja aliyewazid maujanja Arumeru!
Source: mimi mwnyw nipo dodoma kwa sasa kwa shughuli hy
Mpango huu hauwezi kufanikiwa kwa kufanya mikutano mijini na kuacha kwenda vijijini. Kila siku uwanja wa barafu. tutaambulia patupu 2015