Mkutano Maalum wa CHADEMA Arusha Mjini

Mkutano Maalum wa CHADEMA Arusha Mjini

Chademakwanza

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
6,346
Reaction score
1,872
Mkutano Maalumu wa Chadema Arusha Mjini Unaendelea. Lengo ni Mikakati ya Ushindi Uchaguzi Mkuu

Washiriki ni Wenyeviti na Makatibu wote wa Kata 25 za Jijini Arusha
 

Attachments

  • IMG-20150530-WA0057.jpg
    IMG-20150530-WA0057.jpg
    55.5 KB · Views: 3,615
  • IMG-20150530-WA0058.jpg
    IMG-20150530-WA0058.jpg
    46.3 KB · Views: 3,078
  • IMG-20150530-WA0059.jpg
    IMG-20150530-WA0059.jpg
    54.1 KB · Views: 2,823
  • IMG-20150530-WA0055.jpg
    IMG-20150530-WA0055.jpg
    44.3 KB · Views: 2,937
Wakati wao wananunuana kama njugu katika safari za kifisafi sisi tupo kimkakati zaidi
 
Pamoja kamanda, ushindi unaanzia uandikishaji daftari la wapiga kura.
 
Safi sana,acha wao wanunuane kwa kuudhalilisha utu wao
 
Kuna watu wanania na hii nchi ila wanaangushwa na watu wachachache?
 
Namshukuru Mungu leo nimeenda mto wa mbu asubuhi bure na kurudi bure kwa magari yaliyo kawa yanasomba watu kuhudhulia mkutano wa EL.Kula kwingine kulala kwingine,Makamanda chapeni kazi tupo pamoja.:fencing:
 
Back
Top Bottom