Elections 2010 Mkurugenzi wa NEC atua Ubungo

its very sad majibu ya kutoka within 8 hrs inachukua cku 2!te te te teh au huyo kiravu kaja hpo kuongezea vocal kny single ya mkwere maana hyo ssa ni studio co kituo cha kuhesabia kura.
Peopppppppppple 2naibiwa jamani we didnt waste our fuckin tme on sunday goin to vote walio hpo karibu 2patieni kinachoendelea
 
Taarifa kutoka Jimbo la Ubungo zinasema kwamba Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kiravo amefika katika Shule ya Sekondari Loyola na ameruhusu kura zihesabiwe kwa kutumia mfumo wa program ya Excel ili kuharakisha uhesabuji na utoaji wa matokeo.


Mfumo wa Kuhesabu kura ulioletwa na Tume umekuwa ni wa taratibu na... ungeshindwa kutoa matokeo kwa wakati muafaka kwani ulikadiriwa ungeweza kutumia siku zaidi ya mbili kuweza kamilisha shughuli ya kujumlisha matokeo yote.


Tunatarajia kuwa na matokeo kamili ndani ya masaa mawili.


masaa mawili bado hayajaisha Lusajo?
 
Matokeo yapoje kwa sasa? kwani masaa mawili yameshapita!! ni ajabu sana kwani matokeo ya Dar karibu yote yamechelewa kutolewa.
 
Back
Top Bottom