Mkurugenzi wa Manispaa ya IIemela aichafua CHADEMA

Mkurugenzi wa Manispaa ya IIemela aichafua CHADEMA

Hili halihusiani na kuhiji au alhaji yoyote wala si kutokana na uislamu au dini yoyote bali tatito la huyo mkurugenzi ni UCCM wake na hilo ni dhahili hata John Wanzuki Makufuli kwa U CCM wake akataka watu wapige mbizi baharini.Kuleta hoja za udini ni uduni wa mawazo na itawapa hoja wale wenye ugonjwa wa kueneza virusi vya UCCM kueneza propaganda zao za udini, ukanda na ukabila dhidi ya vyama pinzani.
Nawasihi wana JF tutoe hoja zenye mashiko za kutuondolea umaskini wa kulazimishwa na CCM.Watanzania hatuna tatizo la dini wala kanda wala kabila kwani tunavyo vyingi na kuzidi.Tutaing'oaje CCM na mfumo wake wa kishetan kabla ya au mwaka 2015i?
 
Hakika Mwislamu anaye support Chadema anajitafutia laana mbele ya Mungu wake.Pro Chadema kila kukicha wao ni kuutukana uislamu na Waislamu.Leo hii Mwislamu ukishabikie hiki chama cha kidini itakuwa hajitambui

Kama jina lako lilivyo, na comment zako ndivyo zilivyo. Huna point kabisa, ni pumba tu unatoa humu jamvini
 
hili halihusiani na kuhiji au alhaji yoyote wala si kutokana na uislamu au dini yoyote bali tatito la huyo mkurugenzi ni uccm wake na hilo ni dhahili hata john wanzuki makufuli kwa u ccm wake akataka watu wapige mbizi baharini.kuleta hoja za udini ni uduni wa mawazo na itawapa hoja wale wenye ugonjwa wa kueneza virusi vya uccm kueneza propaganda zao za udini, ukanda na ukabila dhidi ya vyama pinzani.
Nawasihi wana jf tutoe hoja zenye mashiko za kutuondolea umaskini wa kulazimishwa na ccm.watanzania hatuna tatizo la dini wala kanda wala kabila kwani tunavyo vyingi na kuzidi.tutaing'oaje ccm na mfumo wake wa kishetan kabla ya au mwaka 2015i?

nakuunga mkono 100%
 
Huyo Mkurugenzi wa ILEMELA nasikia anaumwa kichaa, muwahisheni fasta Milembe
 
Ma DC na RC wote ni makada wa magamba, katiba itabadili hili
 
Tanzania kuna vituko, wakurugenzi na wakuu wa idara wengi ni makada wa ccm! Kuna afisaelimu wa wilaya moja yeye alikuwa anafanya kazi ya ccm ya kusema kuwa Tanzania ina mtaala, hii ni aibu kwa wataalamu wetu kushabikia siasa!
 
Back
Top Bottom