KIPALI
Member
- Apr 4, 2017
- 16
- 22
Huyu mkurugenzi ni kilaza sana anaonea watumishi bila sababu yoyote kwa ajili ya ulilaza wake.Baada ya kufanikiwa kuangalia nyeti za akina mama pale hospitali ya wilaya sasa kageukia kutumbua watumishi idara nyingine kwa matakwa yake tu tena ukizingatia anavyopenda dogodogo.Mpaka sasa kashindwa kukabidhi madaraka ya mkurugenzi wa mji mdogo Mr yona Chalinze kwa interest zake tu.Hebu fikiria mtuakapewa barua toka tamisemi aendelee na ukurugenzi yeye hataki.Tena kamtumbua kaimu afisa elimu wilaya kwa uonevu tu bila hata kufuata utaratibu.Kuna dada mmoja yupo maendeleo ya jamii cheupe hivi ndiye anampa maelekezo afanye nini kuendesha halmashauri kisa mpenzi wake.Huyiu bwana kilaza sana mpaka anafikia kuwafokea madiwani wa halmashauri ni jipu hili ni kilaza jamani haeleweke.Kamsimamisha dada mmoja nesi eti kapoteza fedha za halmashauri upaande wa makusanyo hivi huyu mwehu aliambiwa nesi kasomea uhasibu?