Mkurugenzi Pangani asimamishwa

Mkurugenzi Pangani asimamishwa

Kwahiyo ametumbuliwa sababu kachelewesha malipo Kwa Supplier?

Basi wakurugenzi wote watumbuliwe Kwa sababu hakuna Halmashauri ambayo haidaiwi na hawa suppliers.
Paragraph ya pili ingefaa kusomeka "...Kwa sababu hakuna halmashauri isiyochelewesha malipo Kwa suppliers." Ili iendane na paragraph ya kwanza.
 
Wote Nyinyi ni watafuta sababu tu!
Mkurugenzi kama hajapokea hela hakuna shida lakini sio kutesa wazabuni huku hela ipo zaidi ya miaka 2!
Yes kuna tofauti ya kudaiwa na tofauti ya kuchelewesha malipo.... Tena unachelewesha na fungu lilishapitishwa basi tu nongwa.
 
Kaka haya mambo ya Kucheleweshewa malipo yanaumiza sana watu! Sema kwa vile wabongo wanafiki! Maana utakuta Mkurugenzi mwizi na mcheleweshaji miradi akifatiliwa tunaanza kuona anaonewa lakini ni uhalisia ndo adui wa wananchi!
Afrika hatujui hata tunachotaka! Mwizi wa kuku anauliwa ila mwizi anayetumia cheo chake anaoneka wa maana na kutetewa!
Yes kuna tofauti ya kudaiwa na tofauti ya kuchelewesha malipo.... Tena unachelewesha na fungu lilishapitishwa basi tu nongwa.
 
Kaka haya mambo ya Kucheleweshewa malipo yanaumiza sana watu! Sema kwa vile wabongo wanafiki! Maana utakuta Mkurugenzi mwizi na mcheleweshaji miradi akifatiliwa tunaanza kuona anaonewa lakini ni uhalisia ndo adui wa wananchi!
Afrika hatujui hata tunachotaka! Mwizi wa kuku anauliwa ila mwizi anayetumia cheongsam chake anaoneka wa maana na kutetewa!
Hakika
 
Maybe ila wanalalamikiwa sana kuchelewesha miradi ili Hali utakuta mzigo ushaingia kutoka serikali kuu. Sijui lengo ni nini hasa

Hata hivyo kisheria mamlaka yake ya nidhamu ni Katibu Mkuu.

Utaona hapo mwenezi kumuagiza Waziri amsimamishe mkurugenzi huku waziri akimwagiza Katibu Mkuu afanye uchunguzi.

Maana yake mwenezi na waziri hawana mamlaka ya kukwajibisha mkurugenzi.

Sasa mkurugenzi kapisha uchunguzi. Kama ana makosa au hana kiutendaji siyo rahisi arudishwe hapo.
 
Kiutaratibu makonda hayupo sahihi ila watu wanaona liwalo na liwe ili mradi shida zao zimetatulika
 
Kwahiyo ametumbuliwa sababu kachelewesha malipo Kwa Supplier?

Basi wakurugenzi wote watumbuliwe Kwa sababu hakuna Halmashauri ambayo haidaiwi na hawa suppliers.
Ndiyo maana nimeweka angalizo huenda supplier akawa na mizizi ya kisiasa na ndiyo kaamua kumtingisha kupitia kwa mwenezi.
 
Kiutaratibu makonda hayupo sahihi ila watu wanaona liwalo na liwe ili mradi shida zao zimetatulika
Nimeona mara nyingi sana wanasiasa wanaingilia kazi za kitaalam na wakati mwingine kukwamisha miradi huku wakitupa lawama kwa maafisa wa serikali
 
Sahihi hakuna Halmashauri isiyochelewesha malipo, au Kwa makusidi au hela inakuwa hakuna.
Labda wanahamisha mafungu maana siamini mradi wa kujenga Kwa mfano zahanati unaweza anza tu bila kuwepo na budget yake...utakuta hiyo hela imetumika kwenye issue nyingine
 
Wakurugenzi wa Halmashauri jumla yao ni 185.

Huwezi kuniambia kwamba wote ni walaji wa hela.

Ninavyofahamu wana majukumu mengi na wanafanya kazi katika mazingira tofauti ya kisiasa na kiutendaji. Anaweza akawa sawa kiutendaji ila kisiasa wakamkataa.

Ukurugenzi ni kazi ambayo muhusika anatakiwa amridhishe aliyemteua, wananchi anaowatumikia na wanasiasa ambao ni wenye maamuzi na Halmashauri.

Huwezi kukuta Mkurugenzi anamfurahisha kila mtu.
Huwajui. Ni majizi makubwa
 
HATUDANGANYIKI.

Viatu vya Magufuli ni vikubwa mno kumtosha yeyote.

Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi ndo suluhu ya matatizo.
 
Back
Top Bottom