Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa, Rashid Othman astaafu, Nafasi yake yakaimiwa na George Madafa

Acheni ubabaishaji Muogole anaweza nini?Muogole anachojua ni utawala tu lakini uwezo wa kiintelijensi kuchambua taarifa hawezi,RO alipoingia kwa kiwa ni rafiki yake akampeleka Muogole ubalozini Brazil baadae akamletea ikulu kama mkuu wa utawala lakini JPM alipoingia akamrudisha TISS yuko dawati la mambo ya nje (DEO) chini ya bosi wake Mobali Matinyi mhariri. wa zamani wa gazeti la Majira
 
Julius Mogole ndiye anayestahili kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa baada ya Rashid, Jamaa ana uwezo Mkubwa sana wa maswala ya Usalama, na Kikwete wakati wake alimteua kuwa Mkurugenzi wa Huduma za Ikulu na Zahanati kabla ya JPM kumrejesha akaendelee na TISS.
Uteuzi wa JK ulikuwa na mapungufu mengi. Madafa ana uzoefu yupo usalama muda mrefu so tumpongeze kwa hili kuliko kujadili fulani anafaa zaidi. Why fulani na sio Madafa? Hongera Madafa
 
Back
Top Bottom