Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa, Rashid Othman astaafu, Nafasi yake yakaimiwa na George Madafa

image.jpg

Huyu hapa

Picha ya mwenye kukaimu
 
Ni kweli Julius Mogole alimudu sana masuala ya huduma mbali mbali pale Mjengoni lakini uteuzi uliofanyika nina imani umezingatia mambo mengi ya kitaalam

Uteuzi bado haujafanyika, huyo Madafu anakaimu nafasi hiyo ili kusubiri Rais ateue Director Mpya,

kwa kweli Julius Mogore ni mtu wa watu na hana Makuu kabisa, na jamaa kabobea sana hayo maswala, naamini Rais hatafanya kosa kumuacha huyu.
 
Kuuliza si ujinga,ivi mbobezi ambaye ni mtu aliyebeboa kwenye hii idara anatakiwa awaje?
 
Siyo kwenye hiyo idara, ni kwenye hiyo Nafasi ya Mkurugenzi Mkuu, kifupi, Maadili yapo pale pale, ila uzoefu wako katika maswala hayo ndani na nje ya nchi,

Huyo Bwana Julius Mogore vyote hivyo anavyo, na ni mtu hatari sana kwenye mambo ya Usalama hata madafu naye ni mzuri ila hajamfikia Julius
 
Uteuzi bado haujafanyika, huyo Madafu anakaimu nafasi hiyo ili kusubiri Rais ateue Director Mpya,

kwa kweli Julius Mogore ni mtu wa watu na hana Makuu kabisa, na jamaa kabobea sana hayo maswala, naamini Rais hatafanya kosa kumuacha huyu.
Mkuu nakushukuru kwa kuweka sawa maelezo yangu, basi tusubiri uteuzi wake Mh.
 
Back
Top Bottom