Mkurugenzi mkuu wa TANESCO na Muhongo watumbuliwe

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,449
Hapo nazungumzia wizara ya nishati na madini, hao watu wawili yaani GD wa TANESCO bwana Ferician Mramba na waziri wa nishati na madini Prof. Sospeter Muhongo wawajibishwe na kutumbuliwa kwasababu na wao ni majipu haiwezekani mkurugenzi wa TANESCO alitudanganya kwamba umeme utashuka bei hadi kufikia January mwaka huu.

Lakini hadi dakika hii umeme bado tunanunua unit moja kwa sh.300 na umeme wa gesi hadi leo hatuuoni japo alisema utaanza mwezi August mwaka jana, hilo ni jipu kwasababu ni muongo nae atumbuliwe tu lakini pia huyu Muhongo nae atumbuliwe kwa kuleta uongo, profesa mzima analeta uongo.

Huyu alituaminisha wananchi ya kwamba suala la kukatika au mgao wa umeme chini ya uongozi wake itakuwa ni historia, alikuja na uongo kama wa Ngeleja kwamba umeme kukatika itakuwa ni ngojera chini ya uongozi wake cha ajabu hadi leo hii umeme unakatika kila mara, mfano mtaani kwetu haiishi wiki umeme unakatika hata mara 8 kwa siku.

Sasa tunakuomba Magufuri tumbua hawa watu maana ni waongo wanatuaminisha uongo wananchi kama vile wale waliotuaminisha Lowassa ni mwizi sugu harafu mwisho wa siku wakatuambia sio mwizi.
 
Hapo nazungumzia wizara ya nishati na madini.hao watu wawili yaani GD wa Tanesco bwana Ferician Mramba na waziri wa nishati na madini Prof.Sospeter Muhongo wawajibishwe na kutumbuliwa kwa sababu na wao ni majipu.haiwezekani mkurugenzi wa Tanesco alitudanganya kwamba umeme utashuka bei hadi kufikia january mwaka huu lakini gadi dakika hii umeme bado tunanunua unit moja kwa sh.300,na umeme wa gesi hadi leo hatuuoni japo alisema utaanza mwezi August mwaka jana.hilo ni jipu kwa sababu ni muongo nae atumbuliwe tu.lakini pia huyu Muhongo nae atumbuliwe kwa kuleta uongo.profesa mzima analeta uongo,huyu alituaminisha wananchi ya kwamba suala la kukatika au mgao wa umeme chini ya uongozi wake itakuwa ni historia,alikuja na uongo kama wa Ngereja kwamba umeme kukatika itakuwa ni ngojera chini ya uongozi wake.cha ajabu hadi leo hii umeme unakatika kila mara,mfano mtaani kwetu haiishi wiki umeme unakatika hata mara 8 kwa siku.sasa tunakuomba Magufuri tumbua hawa watu maana ni waongo wanatuaminisha uongo wananchi kama vile wale waliotuaminisha lowasa ni mwizi sugu harafu mwisho wa siku wakatuambia sio mwizi
kama wanaotumbua na wanaotakiwa kutumbuliwa ni jamii moja, hapo ni sawa kumwambia mtu ajitoboe jicho lake mwenyewe hapo ni sawa na kusema kama ni uraisi bora uishe
 
Hivi wa Tz mtaacha siasa lini?kila kitu jipu mnasahau kwamba kila kitu kina wakati wake . suala la kushuka kwa umeme kuna regulator inaitwa Ewura ndo inahusika halafu Tanesco inajiendesha kwa hasara kukulinda ww mtumiaji wa umeme ktk nchi zote za Africa Mashariki Tz umeme ndo raising. So jipange urudi tena kivingine utatumbuliwa kwa kukurupukia mambo...
 
Ukiona limekuchoma inawezekana na wewe ni jipu hapo juu nlikusudia Tz umeme ndo upo chini si raising.na ujue tena Mramba wala Muhongo hawapangi bei ya umeme
 
Hapo nazungumzia wizara ya nishati na madini.hao watu wawili yaani GD wa Tanesco bwana Ferician Mramba na waziri wa nishati na madini Prof.Sospeter Muhongo wawajibishwe na kutumbuliwa kwa sababu na wao ni majipu.haiwezekani mkurugenzi wa Tanesco alitudanganya kwamba umeme utashuka bei hadi kufikia january mwaka huu lakini gadi dakika hii umeme bado tunanunua unit moja kwa sh.300,na umeme wa gesi hadi leo hatuuoni japo alisema utaanza mwezi August mwaka jana.hilo ni jipu kwa sababu ni muongo nae atumbuliwe tu.lakini pia huyu Muhongo nae atumbuliwe kwa kuleta uongo.profesa mzima analeta uongo,huyu alituaminisha wananchi ya kwamba suala la kukatika au mgao wa umeme chini ya uongozi wake itakuwa ni historia,alikuja na uongo kama wa Ngereja kwamba umeme kukatika itakuwa ni ngojera chini ya uongozi wake.cha ajabu hadi leo hii umeme unakatika kila mara,mfano mtaani kwetu haiishi wiki umeme unakatika hata mara 8 kwa siku.sasa tunakuomba Magufuri tumbua hawa watu maana ni waongo wanatuaminisha uongo wananchi kama vile wale waliotuaminisha lowasa ni mwizi sugu harafu mwisho wa siku wakatuambia sio mwizi

juvenile davis kwanza kabisa TANESCO haipangi bei ya umeme kuna mamlaka husika ambayo ni EWURA. Bei ya umeme itashukaje na Gharama za uzalishaji wa umeme ipo juu? Bei ya umeme haipangwi kwa kuangalia bei ya mafuta, maji na gesi tu.EWURA hutazama pia "cost structure" vitu vingi huangaliwa kabla ya kupanga bei ya umeme.

pili unajua gharama za kufua umeme? TANESCO inavyanzo vitatu ambavyo ni maji, mafuta na gesi. TANESCO inanunua umeme kutoka kwa kampuni binafsi zinazo zalisha umeme kwa kutumia mafuta kwa gharama ya senti za Marekani 40 hadi 60.

Unit moja kwa maji ni sh. 60, kwa gesi sh. 170 na kwa mafuta sh. 750 sasa hapo bei itashukaje?

Pia pitia ulichoandika hakieleweki, majina umekosea vijana wa dotcom kazi kweli naona ndio wa division 5
 
Kwaiyo kwa kifupi Una maanisha Umeme kushuka ni kamwe haitatokea kwa tz, labda utashuka bei kwenye vinywa vya wagombea wenu wa Ccm kipindi cha kampeni??! Si ndio kaka au nimekosea
 
Suala la ghalama za umeme nivema selikali ikatupia macho huko.

kama ni ushenzi wa IPTL.....Bora kuwatimuwa hao jamaa imetosha maana wamepiga hela sana ......Tangu kikwete akiwa waziri wa nishati mpaka leo jamaa wanapiga hela tu....Jaman tuhurumien walalahoi.
 
Hata jina la MD wa Tanesco hujui nadhani ni Felchesmi Mramba na si Ferician. Mjue watu wengine wanaotuma post humu jamii forum wana uelewa mdogo sana .na mtu kama hujui kitu kuwa mwepesi kuuliza ili uelimishwe.Tanesco muda wote naona kitengo Chao cha mawasiliano wanatoa sana elimu na kujibu hoja za wateja . hata issue ya Tarrif na viwango mimi nilijulia humu humu katika jukwaa la siasa Home of Great Thinkers. .
 
Nc
Katika ukanda wetu wa afrika mashariki ni nchi gani inauza umeme bei ndogo sana kwa wananchi wake?

Nchi ya Tanzania dogo, kwa upande wa umeme wa majumbani (domestic)na kwa taarifa yako kwa upande mwingine wa ukanda wetu wa Afrika MASHARIKI ikipanda dola au mafuta automatically na bei ya umeme inapanda tofauti na kwetu...that's why nkawaambia isije ikawa ww nd
o jipu.
 
Hata jina la MD wa Tanesco hujui nadhani ni Felchesmi Mramba na si Ferician. Mjue watu wengine wanaotuma post humu jamii forum wana uelewa mdogo sana .na mtu kama hujui kitu kuwa mwepesi kuuliza ili uelimishwe.Tanesco muda wote naona kitengo Chao cha mawasiliano wanatoa sana elimu na kujibu hoja za wateja . hata issue ya Tarrif na viwango mimi nilijulia humu humu katika jukwaa la siasa Home of Great Thinkers. .
Na bado hawapendi kuelimishwa (Wabishi haooo) wala kufuatilia habari zaidi
 
E THIS STORY
POLITICS AND POLICY
Kenya Power
makes first ever
tariff cut
Kenya Power managing director Ben Chumo. The
firm is implementing new tariffs that were
gazetted in December 2013. PHOTO | FILE
By NEVILLE OTUKI, notuki@ke.nationmedia.com
Posted Tuesday, June 30 2015 at 20:23
IN SUMMARY
The new tariffs, which were gazetted in
December 2013 with a phased application
schedule, will see homes consuming above 1,500
units pay Sh20.57 per unit ,from Sh21.57.
Kenya Power will on Wednesday make it first
ever tariff cut in a review that will affect
households consuming more than 50 units of
electricity monthly.
Homes using between 51-1,500 units of power
will pay Sh12.75 per unit from the Sh13.68 they
have been paying.

“There has never been a tariff cut before,” said
Joseph Oketch, Consumer Affairs manager at the
Energy Regulatory Commission.
The July 1 review will offer homes respite after
the volatile shilling pushed the forex levy in
power bills to an 18-month high in June, denying
consumers cheaper electricity despite increased
generation of low-cost hydropower.
The impending drop in tariffs, though marginal, is
expected to save big domestic consumers of
electricity millions of shillings – freeing up
money for savings or increased spending on
consumer goods.
Electricity bills take up a larger portion of rich
households’ expenditure compared to the poor
households, meaning a cut in tariffs could
translate to huge savings for affluent consumers.
Low consumers of electricity (0-50 units per
month) will continue paying the Sh2.50 a unit
that was introduced in December 2013, up from
Sh2.
The July tariff adjustments will be the third and
final phase of a billing structure that was set in
December 2013. The new tariffs are expected to
remain in force for one year when they will be
due for a review.
READ: Ruto stops Kenya Power from raising
electricity costs
Electricity consumers also pay a fixed charge of
Sh150 regardless of consumption levels. The
charge remains unchanged. Kenya Powers’
customer base has widened to 3.3 million.
The cost of energy is also expected to drop for
commercial and industrial consumers, possibly
pulling down consumer goods prices and
sharpening the competitiveness of manufacturers
in the regional market.
Small commercial power consumers will from
Wednesday pay Sh0.50 less per unit at Sh13.50
while all categories of large commercial users
and industrialists will save Sh0.25 per unit.
Electricity remains one of the biggest costs of
production for Kenyan goods, a fact that has
prompted the government to invest heavily in
cheaper renewable power sources such as steam
wells, coal and wind farms.
Besides the cash that goes to Kenya Power
directly, power bills are loaded with taxes,
inflation charge, Water Resource Management
Authority (Warma) levy and the variable fuel and
forex levy.
1 | 2 Next Page »
Four KRA staff in court for aiding tax evasion
Kenya Fluorspar escalates layoffs
Treasury to cut local borrowing by a quarter
Oil prices extend gains as Iran welcomes output
freeze
More illegal sugar found in Joho-linked firm,
says taxman
NAIROBI SECURITIES EXCHANGE
Market Open— 2:43 PM EAT
Gainers Price Change
ADSS 1.65 10.00% ▲
LKL 5.50 7.84% ▲
SGL 31.00 6.90% ▲
FIRE 3.75 5.63% ▲
HFCK 21.00 5.00% ▲
Losers Price Change
CARB 13.60 9.03% ▼
CFC 73.50 7.55% ▼
KAPC 95.00 4.04% ▼
WTK 190.00 4.04% ▼
EVRD 2.75 3.51% ▼
Movers Volume Mkt.Cap
SCOM 16.08M 627.02B
KEGN 10.86M 14.51B
EQTY 1.40M 150.95B
FIRE 1.29M 1.04B
MSC 1.16M 2.45B
n-soko About us Contact us Digital
Editions Syndication Help Privacy Policy
Terms RSS
 
Hivi wa Tz mtaacha siasa lini?kila kitu jipu mnasahau kwamba kila kitu kina wakati wake . suala la kushuka kwa umeme kuna regulator inaitwa Ewura ndo inahusika halafu Tanesco inajiendesha kwa hasara kukulinda ww mtumiaji wa umeme ktk nchi zote za Africa Mashariki Tz umeme ndo raising. So jipange urudi tena kivingine utatumbuliwa kwa kukurupukia mambo...

Katika majipu hasa ninayoona ni majipu ni issue za kule Bandarini na TRA, hizo hekaya zingine hazina uhalisia sana!
 
Kenya Power makes first ever tariff cut -
Politics and policy
www.businessdailyafrica.com/ Ken...
30 Jun 2015 ... The new tariffs , which were
gazetted in December 2013 with a phased
application schedule, will see homes consuming
above 1,500 units pay Sh20.57 per unit ,from
Sh21.57. Kenya Power will on Wednesday make
it first ever tariff cut in a review that will affect
households consuming ...
 
Uyo DG wa tanesco ni mtoto wa yule fisadi aliyepewa adhabu ya kusafisha hospital flan iv pale sinza mtoto wa nyoka ni nyoka mnategemea uyo DG asiwe jipu
 
juvenile davis kwanza kabisa TANESCO haipangi bei ya umeme kuna mamlaka husika ambayo ni EWURA. Bei ya umeme itashukaje na Gharama za uzalishaji wa umeme ipo juu? Bei ya umeme haipangwi kwa kuangalia bei ya mafuta, maji na gesi tu.EWURA hutazama pia "cost structure" vitu vingi huangaliwa kabla ya kupanga bei ya umeme.

pili unajua gharama za kufua umeme? TANESCO inavyanzo vitatu ambavyo ni maji, mafuta na gesi. TANESCO inanunua umeme kutoka kwa kampuni binafsi zinazo zalisha umeme kwa kutumia mafuta kwa gharama ya senti za Marekani 40 hadi 60.

Unit moja kwa maji ni sh. 60, kwa gesi sh. 170 na kwa mafuta sh. 750 sasa hapo bei itashukaje?

Pia pitia ulichoandika hakieleweki, majina umekosea vijana wa dotcom kazi kweli naona ndio wa division 5
Asante kwa kunielewesha mkuu,ila ishu yangu ni kwamba hao watu ndio waliosema umeme hautakatika na bei itashuka,na maneno hayo hayajasemwa na EWURA
 
Mbona sijaona aliyekujibu mkuu.
tafuta data na quotes za hao unaowanukuu uongeze uzito Wa thread yako.
Zaidi ya hapo itakuwa unatunyima haki ya kuchangia au kujadili
 
Nc

Nchi ya Tanzania dogo, kwa upande wa umeme wa majumbani (domestic)na kwa taarifa yako kwa upande mwingine wa ukanda wetu wa Afrika MASHARIKI ikipanda dola au mafuta automatically na bei ya umeme inapanda tofauti na kwetu...that's why nkawaambia isije ikawa ww nd
o jipu.
Kwa hiyo kama nchi nyingine wanauziwa kwa gharama umeme,mnataka na sisi tuuziwe kwa gharama? Kazi ipo sana kuamka ukiwa ni mtanzania,na ndio maana wanasiasa wanatudanganya

Back
Top Bottom