juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Hapo nazungumzia wizara ya nishati na madini, hao watu wawili yaani GD wa TANESCO bwana Ferician Mramba na waziri wa nishati na madini Prof. Sospeter Muhongo wawajibishwe na kutumbuliwa kwasababu na wao ni majipu haiwezekani mkurugenzi wa TANESCO alitudanganya kwamba umeme utashuka bei hadi kufikia January mwaka huu.
Lakini hadi dakika hii umeme bado tunanunua unit moja kwa sh.300 na umeme wa gesi hadi leo hatuuoni japo alisema utaanza mwezi August mwaka jana, hilo ni jipu kwasababu ni muongo nae atumbuliwe tu lakini pia huyu Muhongo nae atumbuliwe kwa kuleta uongo, profesa mzima analeta uongo.
Huyu alituaminisha wananchi ya kwamba suala la kukatika au mgao wa umeme chini ya uongozi wake itakuwa ni historia, alikuja na uongo kama wa Ngeleja kwamba umeme kukatika itakuwa ni ngojera chini ya uongozi wake cha ajabu hadi leo hii umeme unakatika kila mara, mfano mtaani kwetu haiishi wiki umeme unakatika hata mara 8 kwa siku.
Sasa tunakuomba Magufuri tumbua hawa watu maana ni waongo wanatuaminisha uongo wananchi kama vile wale waliotuaminisha Lowassa ni mwizi sugu harafu mwisho wa siku wakatuambia sio mwizi.