Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Anthony Kasore amesema kuwa sio tu wenye Shahada ya Awali, hata wenye elimu za juu zaidi kama vile Shahada ya Uzamivu (PhD) wanaweza kujiunga VETA, na wamewahi kuwa na mwanafunzi mwenye PhD ambaye amesomea masuala ya uchomeleaji.
Soma: Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri
Akizungunza kwenye Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC1 leo Machi 17, 2025, Kasore amesema Serikali imeendelea kuboresha huduma za elimu ya ufundi hasa miundombinu na kuwahimiza watu wote wanaohitaji kupata ujuzi wajiunge na vyuo vya VETA vinavyopatikana katika maeneo mbalimbali nchini.