Mkurugenzi mkuu TCB afumaniwa Uko Pasua

Mkurugenzi mkuu TCB afumaniwa Uko Pasua

Second Lieutenant

Senior Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
143
Reaction score
26
Habari wana JF,

Kwa habari za Uhakika kabisa toka uko Pasua Moshi ni kwamba yule Mkurugenzi mkuu matata sana wa Bodi ya Kahawa MOshi ndugu Adolph Kumburu juzi Jumapili alifumaniwa na mke wa mtu uko Moshi na Kupokea Kichapo heavy sana kabla ya kunusuriwa na Police wa kitua kidogo cha Mabogini.

Jambo la kushangaza ni police wa kituo cha mabogini kupokea Rushwa toka kwa ndugu Kumburu na kisha kumwachia huru,kweli maskini hana Haki kabisa.Tukumbuke ndugu Kumburu amekuwa ni mtu ambaye amelalamikiwa sana na wafanyakazi wake kwa kuwanyanyasa na hata kuwafukuza kazi wafanyakazi ovyo,Amekuwa mtu ambaye hujipachika madaraka makubwa sanaa hata yanayozidi bodi ya wakurugenzi.Serikali bado imekaa kimya sana kupitia migogoro mingi sana ambayo Kumburu amekuwa chanzo.
 
Attachments

  • Adolf-Kumburu.jpg
    Adolf-Kumburu.jpg
    35 KB · Views: 1,862
Ingekua Dar sasa hivi sijui sura angeiweka wapi maana wangemtoa bikra mapemaa ndio kipigo kingefuata. Moshi hamjajua kukomesha ujinga huo. Dar au Tanga angefungwa kanga moja na shanga kiunoni na kushughulikiwa huku picha mnato zikipigwa kwa ajili ya kuuzwa na kupelekewa marafiki zake bure.
 
Kufanya mapenzi na mwanamke kwa hiari yake ni kosa kwa mujibu wa sheria ipi?
 
mbona magazeti ya udaku hayajatoa hilo tukio? au wewe ni wale wale wa udaku? pili mbona inaonekana unachuki na huyo jamaa?
 
Sasa leo unataka tujadili fumanizi au masuala ya bodi!!!!???????

Kama kweli hilo ni jambo ovu ila ulivyolileta ni kama una msukumo zaid ya tukio husika!!!!
Jipange weka uzi na vidhibiti then jukwaa utalipenda!!!!
 
kazi ipo,fumanizi na migogoro ya bodi wapi na wapi?,
kutoka pasua hadi mabogini kuna umbali gani?,maana unapozungumzia fumanizi limetokea pasua na polisi wakatoka mabogini huoni hapo kuna ka uongo kidogo?

kwa wanaoishi moshi mabogini ni mbali kulipo majengo polisi au polisi kati
 
mtoa mada hueleweki, huyo mwanamke anaitwa nani? anafanyia wapi? au ni hawara tu? chanzo cha habari ni ipi?
mwisho - aliyegegedwa alitoa pampuchu kwa hiari yake au kwa shinikizo la kupandishwa cheo na huyo mkurugenzi??????
 
Ingekua Dar sasa hivi sijui sura angeiweka wapi maana wangemtoa bikra mapemaa ndio kipigo kingefuata. Moshi hamjajua kukomesha ujinga huo. Dar au Tanga angefungwa kanga moja na shanga kiunoni na kushughulikiwa huku picha mnato zikipigwa kwa ajili ya kuuzwa na kupelekewa marafiki zake bure.

Hayo mambo yalianzia moshi,dar na arusha wanaiga
 
Habari wana JF,

Kwa habari za Uhakika kabisa toka uko Pasua Moshi ni kwamba yule Mkurugenzi mkuu matata sana wa Bodi ya Kahawa MOshi ndugu Adolph Kumburu juzi Jumapili alifumaniwa na mke wa mtu uko Moshi na Kupokea Kichapo heavy sana kabla ya kunusuriwa na Police wa kitua kidogo cha Mabogini.

Jambo la kushangaza ni police wa kituo cha mabogini kupokea Rushwa toka kwa ndugu Kumburu na kisha kumwachia huru,kweli maskini hana Haki kabisa.Tukumbuke ndugu Kumburu amekuwa ni mtu ambaye amelalamikiwa sana na wafanyakazi wake kwa kuwanyanyasa na hata kuwafukuza kazi wafanyakazi ovyo,Amekuwa mtu ambaye hujipachika madaraka makubwa sanaa hata yanayozidi bodi ya wakurugenzi.Serikali bado imekaa kimya sana kupitia migogoro mingi sana ambayo Kumburu amekuwa chanzo.

yaani sura hizi kwa wake za watu ni hatari mwee kweli muke ya mtu nii poison.
 
Kama angelikuwa amembaka kweli ingekuwa noma.

Lakini hawa wawili in maana walikubaliana kuibanjua amri ya 6.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Fumanizi ni losa la Jinai huko Zanzibar,kwa Tanganyika sio kosa la jinai

Kwa hiyo kama hii habari ni ya kweli, polisi hawakufanya kosa kumwachia huyo mwanaume kwani hakuna kosa alilotenda mwanaume; ila kwa upande wa mwanamke anakosa kwa mujibu wa kiapo chake cha ndoa siyo
 
Back
Top Bottom