Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,234
Tume huwa haikati majina ya wagombea kwa matakwa yake…tume huwa inakata kutokana na makosa kwa mujibu wa sheria na kanuni zilizotungwa na Bunge…” - Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima akivisihi vyama vya siasa kutulia wakati wa ujazaji wa fomu ili kuepuka kuenguliwa kwa mujibu wa sheria na kanunu za uchaguzi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma Pia: INEC: Chama kisichosaini kanuni za maadili ya uchaguzi, hakitashiri Uchaguzi