Mkurugenzi Dodoma atoa siri ya mapato lukuki

Mkurugenzi Dodoma atoa siri ya mapato lukuki

Na walionunua viwanja baada ya kununua wamerudi dar hawajengi leo wala kesho tena hawana mpango wa kujenga wansubiri vipande bei wauze kwa faida FULL STOP
 
Dodoma. Siku moja baada ya Rais John Magufuli kulisifu Jiji la Dodoma kwamba limefanya vizuri katika makusanyo, Mkurugenzi wake Godwin Kunambi ameanika hadharani vyanzo vya mapato yake na kuwa ardhi ndiyo iliyowabeba.

Huyu jamaa anajisifia kwa data ambazo zilikosewa kuwa Dodoma ni zaidi ya Dar? Hana habari kwamba hii imesharekebishwa? I say watu wanapenda sifa hata wasizostahili!
 
Back
Top Bottom