Mkumbusheni mwamba wa Lusaka (Chama) kuwa juisi za wachezaji wa Al Ahly zimekuja kwa idadi hakuna Shea yake

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,288
12,789
Isitokee Kama michuano ya AFL, hakika mwamba aliitia aibu Simba sc kwa kuomba juisi za Al ahly.
JamiiForums-45051995.jpg
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Umechanganyikiwa ukiwa na umri mdogo sana
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
POLE SANA MKUU
 
Kwani chama anaelewa na kuzungumza kiarabu?

Swala ni kuacha shobo
nyie hamjui mpira ama kwa makusudi mnajifanya kutokujua

Madaktari wa timu A wakiingia uwanjani ni jambo la kawaida kwa mchezaji wa timu B kuomba maji ama juisi

Duniani kote iko hivyo labda kama mnafuatilia NBCPL peke yake

Acheni ushamba fuatilieni mpira
 
Chama ni professional yule mimi ni Yanga ila alichofanya Chama alikua sahihi alitaka kujua hawa wahuni wanakunywa Juice za kawaida au zinaongeza nguvu ndio maana wahuni walimnyima sasa ilitakiwa Simba wajiongeze kuhusu kupimwa kwa Wachezaji wa Al Ahly kama inawezekana sema ndio hivyo Viongozi wao hao wakina Mangungu hakuna kitu wanajua...Wazambia mambo ya mpira wapo mbele ya muda kuliko sisi...
Lile tukio lingetokea kwa mchezaji wa Wydady au Mamelodi tungesikia mambo ya Wachezaji kupimwa ila kwa sababu limetokea kwa watu wa Uchaguzi kwanza mambo mengine baadae limeisha hivyo hivyo...
 
Back
Top Bottom