Chakaza, una ndugu zako Gongo la mboto?Ha ha ha Sadick kajifanya kutaka kuiga rumba linavyosakatwa na mkulu kaishia kucheza maswezi ya kisukuma
Hahahaha! Ungekataa au kukubali tu.Hapana, kwani Congo la mboto iko mkoa gani?Katavi au Simiyu?
Ha ha ha
Huwezi kujua. Never mind.Sikumbuki mkuu, au ni wewe ndiye ndugu yangu?
maelezo mazuri sanaAlikuwa na General knowledge ya vitu vingi sana,
Hakutokea kwny Familia ya Makapuku Mzee Mrisho Kikwete alikuwa Chief wa Wakwere na Mkuu wa Wilaya wa Kwanza wilaya ya Pangani 1958 hivyo Mtoto wake alipata fursa ya kujichanganya kwny Mambo mengi tofauti na wengine ambao udogoni maisha yalikuwa ni kulima na kuchunga. Mpaka anafariki Mzee Mwisho 1998 alikuwa ni mtu anaejiweza.
Baada ya kuanzishwa CCM 1977 Jakaya alipelekwa Kisiwandui kusaidia mchakato wa kuondoa ASP na kusimika CCM huko alikuwa mchezaji mzuri sana wa Basketball yeye na aliyekuwa Jaji Mkuu wake Augustine Ramadhani.
Wakati wapo Chuo alikuwa Mcheza Rhumba mzuri pamoja na Marafiki zake RC wa Zamani Tabora Hayati Ditopile na Ambasador wa Urusi Jaka Mwambi!
Mambo yetu yaleee alikuwa na Samwel Sitta na Jeneral Ulimwengu waliwahi kupoteza Passport wakiwa Ivory Coast kwa kuendekeza.... Alikuwa Mwingi sana huyu Jamaa!
Pia anakipaji cha ucheshi mara nyingi tangu akiwa saigon akifika yeye mnajua kabisa ni jokes time haishi vituko.
Ukiacha kutokuwa makini na kuchukulia kwa wepesi mambo mazito katika utendaji wake, mie katika mambo mengine namkubali sana. Hizo sifa ulizotoa hakika ni zake.Alikuwa na General knowledge ya vitu vingi sana,
Hakutokea kwny Familia ya Makapuku Mzee Mrisho Kikwete alikuwa Chief wa Wakwere na Mkuu wa Wilaya wa Kwanza wilaya ya Pangani 1958 hivyo Mtoto wake alipata fursa ya kujichanganya kwny Mambo mengi tofauti na wengine ambao udogoni maisha yalikuwa ni kulima na kuchunga. Mpaka anafariki Mzee Mwisho 1998 alikuwa ni mtu anaejiweza.
Baada ya kuanzishwa CCM 1977 Jakaya alipelekwa Kisiwandui kusaidia mchakato wa kuondoa ASP na kusimika CCM huko alikuwa mchezaji mzuri sana wa Basketball yeye na aliyekuwa Jaji Mkuu wake Augustine Ramadhani.
Wakati wapo Chuo alikuwa Mcheza Rhumba mzuri pamoja na Marafiki zake RC wa Zamani Tabora Hayati Ditopile na Ambasador wa Urusi Jaka Mwambi!
Mambo yetu yaleee alikuwa na Samwel Sitta na Jeneral Ulimwengu waliwahi kupoteza Passport wakiwa Ivory Coast kwa kuendekeza.... Alikuwa Mwingi sana huyu Jamaa!
Pia anakipaji cha ucheshi mara nyingi tangu akiwa saigon akifika yeye mnajua kabisa ni jokes time haishi vituko.
Ukiacha kutokuwa makini na kuchukulia kwa wepesi mambo mazito katika utendaji wake, mie katika mambo mengine namkubali sana. Hizo sifa ulizotoa hakika ni zake.
Huyu kama nchi hii angeikabidhiwa ikiwa katika maendeleo yaani pengine imefikia uchumi wa kati, hakika hakungekuwa na Rais bora kama huyu ni bahati mbaya kaupata wakati sio wake.
Kuchapa kazi magu na mtalii Nani unamkubali zaidi?Watu wa bara nao ni wazuri kwa lipi?
Rhumba ni very old version.... enzi ya akina nani??Hahaaa! ana kipaji hasa cha kusakata rhumba