Mkulo: Unaiponza serikali yako

Mkulo: Unaiponza serikali yako

Hivi TISS na TAKUKURU kazi yao ni nini hasa!

TISS kazi hufanya kwa siri. TAKUKURU wanapambana na rushwa na mwisho wa siku kazi zao huishia mahakamani hivyo inabidi wawe na ushahidi mzito ili washinde kesi. ndio maana uchunguzi wao huchukua muda mrefu. mfano kesi ya liumba.
 
Napata mashaka sana kama vyombo hivi vinafanya kazi yake ipasavyo! Kuna madudu mengine yanafanywa na viongozi/watawala yanatia aibu....yaani watu hawana woga tena!
 
Hivi TISS na TAKUKURU kazi yao ni nini hasa!
Kazi yao ni kula bata na kuku kwa mrija,kuna haja pia kuangalia vipato vya wakubwa wa hizi taasisi mbili nyeti yaani bwana Hosea na hyo wa TISS (lakini pia hata kama wakishikwa na makosa huyu wa TISS ndugu yake ndiye jaji mkuu sasa sijui itakuwaje,mi nashangaa kwanza kwa raisi JK kuwateua wana ndugu wawili kuongoza taasisi nyeti mbili tofauti,hivi kweli mmojawapo akikosea kweli sheria inaweza kufuata mkondo wake ?sidhani,kwani damu ni nzito kuliko maji,sidhani kama mkurugenzi wa TISS anaweza kumchunguza ndugu yake ambaye ni Jaji mkuu
 
Mtoto wa nyoka ni nyoka tu! anafuata ya baba yake JK. Wote akili zao marekaniiiiiiiiii! safari hii bajeti ya taifa hili inapangwa hukohuko marekani, sijui kama hazina ina kitu mpaka muda huu! nahisi bajeti ya safari hii itakuwa ombaomba tu kwa wahsani
 
Back
Top Bottom