tpaul Platinum Member Joined Feb 3, 2008 Posts 27,783 Reaction score 29,237 Dec 21, 2013 #101 wapi mponda na karamagi? nao wachukuliwe hatua za kinidhamu
McDonaldJr JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 6,386 Reaction score 7,562 Dec 21, 2013 #102 TAKUKURU is toothless dog...!hao wanatufumba macho tuwaamini wakati iko wazi....hao wanaenda kuripoti saa 3 asbh kwa ajili ya kupiga story na kunywa chai tu na zile sambusa za elfu 50.
TAKUKURU is toothless dog...!hao wanatufumba macho tuwaamini wakati iko wazi....hao wanaenda kuripoti saa 3 asbh kwa ajili ya kupiga story na kunywa chai tu na zile sambusa za elfu 50.
Ikwanja JF-Expert Member Joined Jul 12, 2011 Posts 2,082 Reaction score 583 Dec 21, 2013 #103 itakuwa chama cha mizigo kinajianda kwenye uchaguzi wa 2015 si kwa nia ya dhati kuwa shtaki hao wezi wa mali za umma
itakuwa chama cha mizigo kinajianda kwenye uchaguzi wa 2015 si kwa nia ya dhati kuwa shtaki hao wezi wa mali za umma
MTAZAMO Platinum Member Joined Feb 8, 2011 Posts 20,177 Reaction score 35,756 Jul 16, 2019 #104 Saint Ivuga said: na huyu Maige alivyokuwa analalamika kwa Michuzi na hadi kuweka mistari ya biblia kumbe hana lolote anatafuta fadhila Click to expand... Ndio walivyo wote ...
Saint Ivuga said: na huyu Maige alivyokuwa analalamika kwa Michuzi na hadi kuweka mistari ya biblia kumbe hana lolote anatafuta fadhila Click to expand... Ndio walivyo wote ...
Security Code JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 299 Reaction score 388 Jul 16, 2019 #105 Takukuru hatuna ila jina tu, hicho ni kichaka cha uovu. Sijui flash ya Nassari iko wapi waturudishie.
Takukuru hatuna ila jina tu, hicho ni kichaka cha uovu. Sijui flash ya Nassari iko wapi waturudishie.