Entareyehirungu
JF-Expert Member
- Oct 27, 2006
- 488
- 471
BABU CHONDO,...unadhani kampuni zilizo nyimwa vitalu ndani kuna watanzania wangapi wanao tegemewa na familia zao? unatoa kwa mtu ambaye hata hajui wageni anapata lini je ni kuijenga nchi..............,si tuanalilia maslahi ya watanzania wenzetu ambao wanapunguzwa kazi.
Nakubaliana na wewe ndugu, kuna madudu mengina yanamgusa hata baba Riz, hao "watuhumiwa" waliyasimamia!Ahsante robot kwa taarifa.
Kwa kifupi tu sitegemei kitu chochchote chanya hapa, ni zile zile sarakasi za takukuru na ccm.
Hapa tunazugwa ili tuwache kupiga kelele.
Tatizo ni kwamba Mkuu wa nchi si msafi ndiyo maana hawa jamaa wanadunda kwa sababu kuna deals ambazo zinamgusa hata yeye mwenyewe.
Yes. Angalau bweka na tutanyamaza!Hosea aliwahi kuuliza UDSM kuhusu kesi za ufisadi akajibu " a dog can not bite his boss but atleast can bark at him"
Tumeshazoea ngonjera zao na hakuna jipya..
Ni strong kwa rushwa za elfu kumi kumi na laki moja moja! Kwani na hao mawaziri walifanya ubadhilifu wa laki 1?NOOOOO kama kweli majarada yapo kwa Hosea watafikishwa mahakaman,na pia inategemea na uzito na ushahidi wa tuhuma dhidi yao.PCCB is strong enough,subirin mtaona
Ningependa kufahamu vifungu vya sheria vinavyo criminalize kumiliki Vogue 2 na Land Cruiser mpya. Pamoja na vipengele vya sheria vinavyoongelea kuagiza magari mapywa kwa ndege, vilivyovunjwa. Ahsanteni.Inadaiwa Mkulo kakutwa na Vogue 2 na Land Cruiser 2 zote mpya hata nylon hazijatolewa kwenye magari yenyewe nyumbani kwake Mikocheni.
Mzee wa Megawatts (Ngeleja) kashfa yake ni ya zile Benz zake alizoleta na Air Cargo na madudu mengine wizarani.
Maige kauza Vitalu vya walafi serikalini kawazidi akili wenzake (isichukuliwe kama namtetea)
Habari zaidi zitafuatia...
Wakuu,
Taarifa zilizopenya kwenye viunga hivi zinadai kuwa mawaziri walioachishwa kazi [Mkulo, Maige na Mzee wa Megawatts (Ngeleja)] wako kikaongoni Takukuru na kwamba kila siku lazima waripoti saa tatu asubuhi.
Inadaiwa Mkulo kakutwa na Vogue 2 na Land Cruiser 2 zote mpya hata nylon hazijatolewa kwenye magari yenyewe nyumbani kwake Mikocheni.
Mzee wa Megawatts (Ngeleja) kashfa yake ni ya zile Benz zake alizoleta na Air Cargo na madudu mengine wizarani.
Maige kauza Vitalu vya walafi serikalini kawazidi akili wenzake (isichukuliwe kama namtetea)
Habari zaidi zitafuatia...
Lolest!hii ilipokuwa inaitwa takuru tulisema haina meno tukaiongeza ku nyingine ili iwe na meno,sasa ili iweze kuwapata na hatia hawa jamaa nashauri iongezewe meno iwe kama simba, iitwe takukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukuru.
Nimeweka ku 32 ambayo ni meno ya mtu mzima kwa sababu hayo mawili yalishashindwa.
"Mwizi mkubwa" amemuibia nani hayo magari? Kusema "Mkullo ana Vogue tatu na VX mbili nyumbani kwake mikocheni" haiwezi kumfunga mtu.Miezi 4 iliyopita Mkulo aliingiza Range Rover Vogue Brand New, O odometer...1 na New Land Cruiser Vx V8 1 kwa pamoja.... Ndani ya nylon hadi kwake Dar.... Iligharimu around Tshs 615 Million according to Kijana wake wa kiume... i saw too.... Mwizi mkubwa huyu Mkulo.
Ningependa kufahamu vifungu vya sheria vinavyo criminalize kumiliki Vogue 2 na Land Cruiser mpya. Pamoja na vipengele vya sheria vinavyoongelea kuagiza magari mapywa kwa ndege, vilivyovunjwa. Ahsanteni.
(By the way, Invisible, usifute post zangu, huna sababu ya kuziogopa.)
TAKUKURU ipi ya Edward Hosea au mwingine? hakuna kitu hapa serikali imeshakuwa corrupt, kama takukuru imeshindwa kwenye suala la rada, kagoda na mengineyo inataka kuchunguza nini?
Mkuu, jamaa hatuhumiwi kwa kumiliki hayo magari, ila tuhuma ipo kwenye upatikanaji wa hayo magari yenye thamani na yeye akiwa mtumishi wa umma. TAKUKURU wanamchunguza jinsi alivyoyapata hayo magari ukilinganisha na kipato chake. Vifungu vitakuja baadae akipatikana na hatia, na moja ya vifungu ni uhujumu uchumi.Ningependa kufahamu vifungu vya sheria vinavyo criminalize kumiliki Vogue 2 na Land Cruiser mpya. Pamoja na vipengele vya sheria vinavyoongelea kuagiza magari mapywa kwa ndege, vilivyovunjwa. Ahsanteni.
(By the way, Invisible, usifute post zangu, huna sababu ya kuziogopa.)