Mkulo, Ngeleja, Maige ni kivuli cha CCM. Takukuru ni tawi la CCM. Hosea ni mwanachama hai wa CCM. Toka lini mtu akakimbia kivuli chake?. Takukuru haina ubavu wa kuwachukulia hatua akina Mkulo. Akina mkulo na Lowasa nani kafanya madudu ya kutisha ndani ya Tanzania?. Je Lowasa amefanywa nini na Takukuru?.
Umefika wakati wa kutumia risasi kukomesha na kufagia uchafu ndani ya Tanzania. Tungewapiga risasi wezi wetu wa EPA, Richmond, Deep Green, Meremeta, Rada na Kiwira akina Mkulo wasingefanya madudu.