Naomba namba yako ya simu tuwasiliane tafadhaliKwa mtizamo wangu huyu mkulima wangu wa vanila wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera nahitaji msaada mkubwa wa serikali kusaidiwa kwanza ulinzi pili kupata soko la uhakika, siku ya Jumamosi tarehe 24 Feb.
Nilimtembelea kujifunza mengi kwake katika maongezi yake inaonesha anatafuta mnunuzi ambaye atampatia au kumlipa tsh 150,000. Kwa kilo na anasema msimu huu atavuna zaidi ya kilo 500.