Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,303
- 14,969
Nimeipata hii habari kwamba huko Ivory Coast nchi ambayo inaoongoza kwa Kulima na kuuza kakao (ghafi) wakulima wake hawajawahi kuonja chocolate ktk maisha yao!
Chocolate ambayo hutengenezwa ktkna na Kakao yaani kama kwetu mkulima wa Kahawa wa Kagera au KLM awe hajawahi kuonja kikombe cha Kahawa Maishani mwake kwa maana nyingine hajui Kahawa ina ladha gani.
Wakati huo huo Matakataka ya Afrika yapo Washington, Marriott Hotel na kuongea mambo magumu kutekelezeka kama sijui Gas industry wakati vitu rahisi kama hivi vinatushinda, jione mwenyewe na hukumu mwenyewe!

Last edited by a moderator: