Tony Yeyo
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 727
- 548
wakuu habar zenu....mimi ni kijana niliye katika harakati za kupambana na ugumu wa maisha, naamini kabla ya kufanya jambo si vibaya kupitia mafunzo....basi kama ww ni mkulima au mfanya bishara wa mahindi,maharage na viazi mviringo , na unaishi Mbeya, naomba ushirikiano wako..nia na madhumuni yangu ni kujifunza kabla ya kuanza..nataka kujifunza kutoka kwa mzowefu.Wakuu naombeni msaada wenu/
shukran.
shukran.