Mkubwa na wanawe

Mkubwa na wanawe

Super Handsome

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
3,844
Reaction score
6,468
Tafakari na uchukue hatua
attachment.php

 

Attachments

  • 1414172736755.jpg
    1414172736755.jpg
    48 KB · Views: 1,550
Hahahaaaaa huu utani sasa ni wa ngumi jamani!!!Unaweza ukadhani sitti hapo ndiye miss wa kwanza (1994 Emil Adolf )
 
Hahaa na taji lenyewe lishakua chungu kwa mwendo huu?
 
Zee zima eti 24 years. Sasa RITA tunataka data za ukweli.
 
Bingo noma..kashathibitishwa disqualified for award of Miss in Tz..nn kimebaki?

Aondolewe
 
Siti we ni mbaya aiseee kweli kabisa sikutanii
 
wabongo mna maneno mimi siwawezi kabisa kwa maana hiyo hiyo ni ya moto band duh kwa hiyo picha hapo juu huyu dada angeachia taji tu anatakiwa ajue pesa hainunui kila kitu wabongo wamemkataa sasa awagawie pesa kama ana jeuri
 
ndo ameshakua Miss hivyo kama waumia kale ndimu au kajinyonge na big G
 
Back
Top Bottom